nay wa mitego – kamchezo كلمات اغاني
nauliza nani apendi vitu vitamu
nani hapendi mtelemko
nani hapendi madiko diko
kama yupo basi ana matatizo
haka kamchezo bhana kanapendwa mpaka na vichaa
ukisema hakana manaa kila mtu atakushangaa
wengine wanakacheza wakilewa tila lila
tungi limeshatinga wanapiga kama mpila
kamchexo katamu kanatiaga wazimu
haka kamchezo katamu kanatiaga watu wazimu
haka kamchezo kanapendwa nawengi
kuanzia watoto mademu mpaka madingi
haka kamchezo kanapendwa na wengi
kuanzia wazee masela mpaka madingi
wanangu twende twende pamoja twende
mademu twende twende pamoja twende
watoto twende twende pamoja twende
kinamama twende twende pamoja twende
sinywi wala sivuti ila kwenye kamchezo mi ni nuksi
kamchezo kana sheria wengi wan_z_vunja
wanafunzi washule za msingi awaruhusiwi lakin ndio mafundi
ukichanganya wa sekondari wakike wao wanacheza na madingi
masharti hayazingatiwi kila mtu anacheza anavojua
kamewateka mabinti wengine wanakafanya biashara
haka kamchezo kunawatu wanaendekeza
haswa masikini ndio mabingwa wa kukacheza
wakipata wanacheza kamchezo tena kwa swaga
wakikosa wanajiliwaza kwa kamchezo kesho watapata
haka kamchezo kanapendwa nawengi
kuanzia watoto mademu mpaka madingi
haka kamchezo kanapendwa nawengi
kuanzia wazee masela mpaka madingi
wanangu twende twende pamoja twende
mademu twende twende pamoja twende
watoto twende twende pamoja twende
kinamama twende twende pamoja twende
haka kamchezo kunawatu wanaendekeza
haswa masikini ndio mabingwa wa kukacheza
wakipata wanacheza kamchezo tena kwa swagga
wakikosa wanajiliwaza kwa kamchezo kesho watapata
kamchezo ni katamu mpaka matajili wanakachezaga
waliojifanya wagumu walipokaonja wakanogewaga
haka kamchezo kanapendwa nawengi
kuanzia watoto mademu mpaka madingi
haka kamchezo kanapendwa nawengi
kuanzia wazee masela mpaka madingi
wanangu twende twende pamoja twende
mademu twende twende pamoja twende
watoto twende twende pamoja twende
kinamama twende twende pamoja twende
haka kamchezo kanatiaga wazimu
haka kamchezo katamu katiaga watu wazimu
haka kamchezo
haka kamchezo
haka kamchezo
كلمات أغنية عشوائية
- misery index › misery index – conspiracy of none كلمات اغاني
- arrezzia menendez › arrezzia menendez – people you know كلمات اغاني
- embis › embis – boys كلمات اغاني
- caracol television alejo valencia › caracol televisión & alejo valencia – me interesas (versión de charly) كلمات اغاني
- angela brown › angela brown – the love we make كلمات اغاني
- dakingaz › dakingaz – lol.wav كلمات اغاني
- dakingaz › dakingaz – star (i got) كلمات اغاني
- gu09e › gu09e – на моих руках трава (there’s grass on my hands) كلمات اغاني
- lando senju › lando senju – anakin! كلمات اغاني
- sopruse puiestee › sõpruse puiestee – mängumaailm كلمات اغاني