kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego – amalile كلمات اغاني

Loading...

kwanza uliniomba nikupende nisikize ya walimwengu
nikaheshimu maneno yako nikafungua moyo w_ngu
ulinipo nikosea nilisamehe zaidi mara saba sabini
na nilipokukosea huku nyamaza wakajua na majirani
nikaanza kusikia na bwana toka congo
aliyekuletea chacha ukanisaliti mumeo

hivi ni nini ulitaka nikupe
shukrani ya punda mateke
yakishakushinda usijute
hivi ni nini ulitaka nikupe
shukrani ya punda mateke
yakishakushinda unik_mbuke

pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
eh wamalile wamalile
eh wamalile wamalile
eh wamalile wamalile
eh wamalile wamalile

manenno nikisema yatapunguza heshima
moyoni naficha k_mstiri mwanangu
shida nilizopata kukuletea furaha
nikiyak_mbuka naumia uchungu
naka wimbo nikakuimbia
you’re the only one
na bado ukanikimbia labda ni shetani
jua furaha sio pesa
j_po nilikupa
kama hukutosheka
jibu sio kuondoka
umemuacha mtoto kwa mdundiko unapigwa kwa jirani
ningeijua hiyo ngoma ningeipiga tucheze humu ndani
eh wamalile wamalile
hauna huruma hata kidogo wamalile
ona katoto bado kadogo wamalile
na kila la kheri uko uwendako
pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
pesa zangu mali zangu nilikupe mshenzi wewe wamalile
pesa zangu mali zangu nilikupe mshenzi wewe wamalile

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...