kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

navie1 – nini كلمات اغاني

Loading...

chorus;
nini ni mkwara kwa soldier ka mimi
nini ni 0 kwa 360
nini ni cent kwa mtu mwenye note
nini ni vest kwa mtu mwenye coat
huwa na bother kupanda ladder nasaka ladha mazee nataka ladha _ 2

verse 1;
navie nataka billion kama una buku nakuomba ushauri wako usinipe
na cheo najipa mi ni don j_po usawa huu so sawa wacha njitafute
dhamira ni pale juu i don’t care sina njumu ila lazima nkipute
nakupa makavu mi sipigi kavu sipigi kabisa nipishe nipite
haujui nnachojua ila ukijua nnachojua nakuahidi hutojutia utanipa shukrani kama zotee
naonekana wa tofauti kisa cheti sieleweki siwezi keti siti na walo na keki wacha njikokote

bridge;
nililenga shaba, kichwa maktaba
key ya ushindi ni usishindwe kukaza kamba
nyoka mtoa gamba usining’ate ukanlamba
kwenye umahiri nishatia nanga oh yeah

chorus;
nini ni mkwara kwa soldier ka mimi
nini ni 0 kwa 360
nini ni cent kwa mtu mwenye notе
nini ni vest kwa mtu mwenye coat
huwa na bothеr kupanda ladder nasaka ladha mazee nataka ladha _ 2
verse 2 (brian simba);
i got my mama, my sister and daddy
my shpapi a baddie she rolled me a fatty
i lost me.some n_ggas i wish that i hadnt
it saddens but f_ck it! im eating like adam
my b_tch is like eve, her whip is the raddest, a ship in a planet
mi nipo na tagi my n_gga dont panic, wahuni who keep it 100 ndo tupo maskani
asa maugomvi na nani, daily nanyuka mawani
lafudhi mamixa maneno ya zamani ndo maana mapisi wao wanantamani
mi nawakataa kudumisha amani ,mnataka kunifananisha na nani
mwambieni aje aombe samahani, mi nipo tu mbezi niwape ramani?

bridge;
nililenga shaba, kichwa maktaba
key ya ushindi ni usishindwe kukaza kamba
nyoka mtoa gamba usining’ate ukanlamba
kwenye umahiri nishatia nanga oh yeah

chorus;
nini ni mkwara kwa soldier ka mimi
nini ni 0 kwa 360
nini ni cent kwa mtu mwenye note
nini ni vest kwa mtu mwenye coat
huwa na bother kupanda ladder nasaka ladha mazee nataka ladha _ 2

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...