kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy – nikumbushe كلمات اغاني

Loading...

nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
pale mambo yanapoonekana hayaendi
ni ajabu sana namna moyo unahangaika
ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba
j_pokuwa mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu
j_pokuwa mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, ahh
nak_mbuka wana wa israel katika bahari yashamu
j_po walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi
kwa nyimbo nyingi waliimba na k_msifu bwanaa
lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa
yalibadilika mambo, manung’unikoo yalisimama
na kusahau muujiza alotenda bwana mwanzo aah
eee mungu nisaidie ee eeh
nik_mbushe wema wako nisije laumu
nik_mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik_mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
eeh ee mungu nisaidie
nisaidie kuk_mbuka baba yakwamba umenichora
kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh
na mimi umenionaa oooh ooo
nik_mbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa
yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni
ouoh ooh yakwamba kama ungeniacha hatua moja
nisingelifika nilipo ooh eee babaa
umenikung’uta mavumbi, kung’uta
mavumbi mimi na kuniheshimisha
nik_mbushe wema wako nisije laumu
nik_mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik_mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
nik_mbushe wema wako nisije laumu
nik_mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik_mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
yesu nakutazama ninakuamini wewe
fungua maisha yangu, nisaidie nisilalamike
mbele zako, katika hali zote nijue upo
umesema hutaniacha eeh yahweh

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...