kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy – mimi ni wa juu كلمات اغاني

Loading...

kuna wakati wa giza
mbele sioni najiuliza
mbona kama hizi shida
zimekawia kuisha
katikati ya maswali
nasikia sauti ndani, imebeba ujasiri
ikinitaka nikiri nikisema

mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
mimi ni wa juu, juu sana
mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
mimi ni wa juu, juu sana

sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu
mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye mungu
haijalishi ni giza, yeye ni nuru yangu
nitashinda hii vita na yote yatakwisha
ntasimama tena, ntainuka tena
mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu

ntasimama tena, ntainuka tena
mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu

mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
mimi ni wa juu, juu sana
mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
mimi ni wa juu, juu sana
nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu
juu sana
nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu
juu sana

mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
mimi ni wa juu, juu sana

sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu
mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye mungu
mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
mimi ni wa juu, juu sana

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...