kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mullah the matrix – chaka كلمات اغاني

Loading...

weekend in da club baada ya mishe za mtaa
nakula vitu vyangu mi na wanangu kadhaa
toa monde weka monde ndo mambo tulioyazoea

na ngoma kali za town happy day oo yeah
ikapita pisi flani imenyooka balaa
inanukia mauturi bamba kali anang’aa
nikamvuta chemba nipige sound kachaa
kwa ufundi wa sam goal si ndo mchumba akajaa
nikabonga na wanangu kisha nikajikataa
wakasema poa mullah bhana ila take care
nkasema zege hali lali nikasepa nae hom
nikavuta nikachapa bila kutumia ndom
asee utadhani kungwi maana mambo ten ten
bhanaa mtoto fundi triple c miquison
anajituma ile mbaya nikapagawa na sound
ndani ya usingizi mzito baada ya couple of round

daah, maisha yamebadilika na siku at any second unaweza feli ukiloose focus
na kirahisi utapoteza kile ulichotengeneza for years, so skia kilichonitoke

asubuhi natupa shuka no body is arround
then i started feeling strange something is wrong
room vurugu kapekua kabatini kulikuwa na pesa nyingi kama 5 million
akabeba laptop iliokuwa juu ya meza
akasafisha varanda kila kitu akasebenza
fasta nikarudi room ili nikapige simu
kasepa nayo bhana huyu mtoto sumu
kakomba mpaka nding hii ndo bongo dar es salaam
nikaanza vuja jasho puani natokwa damu
when i started thinking what am gona do
maana ndinga sio yangu ya mwanangu abuu
presha panda juu, then i fell down
nimepigwa changa heavy mtoto wa down
ile kuja kushtuka nipo hospitalini
sina hili sina lile hali yangu taabani

daah, hicho ndo kilichonitokea wazee
i spent alot of money time and energy
ili niweze kurudisha kilichotokea lakini nikafeli pia
after few months nikaanza umwa ile kichizi
baada ya check up nikagundulika nna hiv and gonorrhea
so tusiendekeze tamaa za mwili bila ya kuhusisha akili
you better listen learn and watch your stepss

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...