moipei quartet feat. miriam makeba – pole musa كلمات اغاني
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa taabu… taabu… taabu
kweli musavuliponioa
sura yangu, haikuwa na alama hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige
kweli musa, uliponioa sura yangu, haikuwa na alama hata moja nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige oye, oye
tafadhali musa tafuta bibi atakayeweza kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye ukinywa munyeke wamnywia yeye pole… pole… pole.
كلمات أغنية عشوائية
- den › đen – mày đang giấu cái gì كلمات اغاني
- rockz › rockz – o amor é uma piada? كلمات اغاني
- pain swe › pain (swe) – dancing with the dead كلمات اغاني
- chanelica › chanelica – forget you كلمات اغاني
- syrence fucktour › syrence (fucktour) – intro كلمات اغاني
- asbo slipz › asbo slipz – the dance كلمات اغاني
- julie feeney › julie feeney – dear john كلمات اغاني
- paul kelly › paul kelly – i’m on your side كلمات اغاني
- cemetery gatez › cemetery gatez – facefukked كلمات اغاني
- van der graaf generator › van der graaf generator – room 1210 كلمات اغاني