kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

miriam makeba – malaika (live) كلمات اغاني

Loading...

[intro]
we’d now like to take you to tanzania

[verse]
malaika, nakupenda malaika
malaika, nakupenda malaika
ningekuoa mali we, ningekuoa dada
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika

pesa zasumbua roho yangu
pesa zasumbua roho yangu
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika

kidege, hukuwaza kidege
kidege, hukuwaza kidege
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
malaika, nakupenda malaika
malaika, nakupenda malaika
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
woo. ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
woo. ningekuoa malaika
ningekuoa malaika
ningekuoa malaika

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...