kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

michael magow – fanta كلمات اغاني

Loading...

kila nachotoa fan
kila nachotoa fan
kila nachotoa fan
kila nachotoa fan
kila nachotoa fan

kila nachotoa fanta
kwanafata
na kila nachogusa kinawaka
kila sehemu nayoenda nakamata
it don’t matter
mi ni nani ? mi ni bonge la hustler
yeah yeah
nipo mbali siwezi potezaga mida
sihitaji maneno matupu kila muda
kama sio mwana usije ukaniletea shida
maana, ma saa mengi mchizi nakua gdup

kila nachotoa fanta
kwanafata
na kila nachogusa kinawaka
kila sehemu nayoenda nakamata
it don’t matter
mi ni nani ? mi ni bonge la hustler
yeah yeah
nipo mbali siwezi potezaga mida
sihitaji maneno matupu kila muda
kama sio mwana usije ukaniletea shida
maana, ma saa mengi mchizi nakua gdup

n-z-rusha ryhmes straight from kiga
the way nafanya b.i.g niite bigger
bobu huwezi kuja hapa me and my neegas
after dark ndani ya bgm tunapiga
siku chache nyuma nimetenda vitu vingi
homie ananiuliza hizo sunami or wimbi
dodo anaelewa sababu huwa si vimbi
kwahiyo nipe heshima yangu kwa wingi
nipe heshima yangu kwa wingi
nikiwa tungi si yumbi
mambo yakiwa mengi si bongi
nyau bad smell sigongi
this why im hot si vungi
kwa siku 12 joints toka zenji
nafanya fanya
nafanya sana ushenzi
sijari kuhusu chenji
neega this is nu enzi
i shout out with my bands
i don’t care about tenzi
i don’t care about tenzi

kila nachotoa fan
kila nachotoa fan
kila nachotoa fan
kila nachotoa fan
kila nachotoa fan
wanafata
na kila nachogusa kinawaka
kila sehemu nayoenda nakamata
it doesn’t matter
mi ni nani ? mi ni bonge la hustler
yeah yeah ni bonge la hustler
nipo mbali siwezi potezaga mida
sihitaji maneno matupu kila muda
kama sio mwana usije ukaniletea shida
maana, ma saa mengi mchizi nakua gdup

kila nachotoa fanta
kwanafata
na kila nachogusa kinawaka
kila sehemu nayoenda nakamata
it don’t matter
mi ni nani ? mi ni bonge la hustler
yeah yeah
nipo mbali siwezi potezaga mida
sihitaji maneno matupu kila muda
kama sio mwana usije ukaniletea shida
maana, ma saa mengi mchizi nakua gdup

n-z-rusha ryhmes straight from…

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...