mercy masika – mwema كلمات اغاني
[verse 1]
kwako mwana ukamtuma
duniani kisa na maana
nipate uzima
jamani
kwako mwana ukamtuma
duniani kisa na maana
nipate uzima
jamani
[pre-chorus]
ishara kwamba unanipenda zaidi
hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi
ishara kwamba unanipenda zaidi
hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi
[chorus 1]
na siwezi jizuia
kusema wako wema
na sio kama najigamba
umenitenda mema
na siwezi jizuia
kusema wako wema
na sio kama najigamba
umenitenda mema
umekuwa mwema kw-ngu
[verse 2]
umenitoa gizani nilipokuwa nimeshikwa mateka
ukanipa tumaini kwako nikajificha
sasa nitakupa nini iwe sawa na yale umetenda
hakuna ila moyoni sifa nitakuimbia
nilikugharimu msalabani unifie
hivo inanibidi sifa nikuimbie
[?] niseme ili na wengine wakujue
wote waungane nami na wazee ishirini na nne
[chorus 2]
na siwezi jizuia
kusema wako wema
na sio kama najigamba
umenitenda mema
whoa na siwezi jizuia
kusema wako wema (whoa)
na sio kama najigamba
umenitenda mema
umekuwa mwema (kw-ngu)
[bridge]
wacha niringe
umekuwa mwema (kw-ngu)
ooh yaweh oh ooh (kw-ngu)
ooh umenitendea aah aah (kw-ngu)
wacha niimbe
[chorus 3]
siwezi jizuia
kusema wako wema
na sio kama najigamba
umenitenda mema
whoa, na siwezi jizuia
kusema wako wema (whoa)
na sio kama najigamba
umenitenda mema
ooh,na siwezi jizuia
kusema wako wema
na sio kama najigamba
umenitenda mema
whoa, na siwezi jizuia
kusema wako wema, yesu (whoa)
na sio kama najigamba
umenitenda mema
siwezi jizuia!
كلمات أغنية عشوائية
- itsrell › itsrell – back 2 bags (prod. justgriumar) كلمات اغاني
- trap19 connection › trap19 connection – rolite كلمات اغاني
- deconvolution › deconvolution – drowning my fear كلمات اغاني
- chris leon › chris león – condena كلمات اغاني
- shipko › shipko – i’m near with you كلمات اغاني
- misty miller › misty miller – girl on fire كلمات اغاني
- lu kala › lu kala – pretty girl era (shepps mix) كلمات اغاني
- flash kahan › flash kahan – christine كلمات اغاني
- chris difford › chris difford – like i did كلمات اغاني
- samyra › samyra – tequila in my room كلمات اغاني