mbosso – nadekezwa كلمات اغاني
hohohoo hohoo hoho
hohohoo hohoo hoho
salamu ulizo nitumia ah
zimenifikia ah
nipo salama hata usijali
nalishwa vitamu
vinono najilia ah
biliyani yangamia
penzi twadalikana poo kidali
nimekusahau
nak_mbuka tu lako jina
kidogo angalu
umengoa mizizi sio kukatashina
penzi wakapanda dau ah
mjini baba pesa fitina
mimi ukanidharau
visenti haba mf_ko umechina
nando uwezo w_ngu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia
(huk_mweza ukaatema)
mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
(huk_mweza ukaatema)
eeeheeehee
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…
ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
hadi na come come k_minambili arufajiri
na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
kanijaza kanichota kanishika pabayaa
nakutadharisha simu zausiku punguza
unahatarisha penzi langu moto kuunguza
nishakusahau nak_mbuka tuu lako jina
kidogo angaluu
umengoa mizizi sio kukatashina
penzi wakapanda dau anh
mjini baba pesa fitina
mimi ukanidharau
visenti haba mf_ko umechina
nando uwezo w_ngu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia {huk_mweza ukaatema}
mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{huk_mweza ukaatema}eeeheeehee
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…
كلمات أغنية عشوائية
- sebastien patoche › sébastien patoche – quand il pte il troue son slip – 2127121 كلمات اغاني
- rizzy rize x ratchet › rizzy rize x ratchet – akrobat كلمات اغاني
- pedro infante › pedro infante – carta a eufenia كلمات اغاني
- bobby vee › bobby vee – punish her – 1990 – remastered كلمات اغاني
- zwrpl › zwr(pl) – recenzja – yllom كلمات اغاني
- cartel mcs › cartel mcs – canto da sereia كلمات اغاني
- marco calliari › marco calliari – we no speak americano (m.h.m. remix) كلمات اغاني
- king keil › king keil – oldschool mcs part 2 كلمات اغاني
- fort apache › fort apache – porno, glamour y resacas كلمات اغاني
- vinkenoog spinvis combo › vinkenoog / spinvis combo – ja! كلمات اغاني