mbosso – karibu كلمات اغاني
(abbah), (ayolizer)
ishafika saba sasatunakungojea
imebaki miezi miwili tu hebu siku sogea
tuna shauku na bashasha ya kukupokea
sio mimi na mama yako tu na bibi anakuombea
mmmh! imani yangu inanituma
unanisikia baba yoo (baba yooyoo)
na furaha yangu dongo k_mung’unya
anapobugia mama yoo (mama yoo yoo)
mmmm!, dalili wazi wazi
kwa muda usha tawakal
natamani useme zawadi
ila acha ninunue vigari
oooh kuna shangazi
kibiti kwa mzee kikali
ukiota meno ataleta viazi
ule mihogo uwe ngangari
(ule mihogo uwe ngangari)
kwanza nitakupa jina gani
talala talala lala talala
kwanza karibu duniani baba
talala talala lala talala
kwetu furaha isiyo kifani
talala talala lala talala
ila kuna mengi duniani baba
talala talala lala talala
mmmh! kwa furaha niliyonayo
ningechinja ng’ombe kwa tambiko
ila baba yako uwezo sina
pokea uji kwa kijiko
pokea mwanangu (ai yo yo)
tena awape na habari
waropokaji wapambe
we ni w_ngu wa halali
wasije zani vya nyange
dunia ni mafuriko mvua kwote
wanadamu mioyo ya matope
ukitukanwa mwiko usiogope
jikaze mwana wa dangote
ooh wasimuone
kimasomaso wasimuone
wenye jicho la chuki wasimuone mwanangu
kimasomaso wasimuone
ooh, wasimuone
kimasomaso wasimuonе
wenye roho mbaya wasimuone
kimasomaso wasimuonе
sa ringisha tumbo ringa, sa baby ringa
waonyeshe ringa, wadolishie ringa
sa ringisha tumbo ringa, oh baby ringa
wao si wan_z_toa, asa wadolishie ringa
kwanza nitakupa jina gani
talala talala lala talala
kwanza karibu duniani baba
talala talala lala talala
kwetu furaha isiyo kifani
talala talala lala talala
ila kuna mengi duniani baba
talala talala lala talala
ndo namnyema mwanangu (aiyoyo kwa baby shower)
ooh rafiki kwa ndugu zangu (aiyoyo kwa baby shower)
furaha na uzazi w_ngu (aiyoyo kwa baby shower)
naringa ringa na mwanangu (aiyoyo kwa baby shower)
aiyoyo kwa baby shower
aiyoyo kwa baby shower
aiyoyo kwa baby shower
aiyoyo kwa baby shower
كلمات أغنية عشوائية
- chris brown › chris brown – run it! (jason nevins extended mix) كلمات اغاني
- kiid le roi › kiid le roi – tyab كلمات اغاني
- anstandslos durchgeknallt › anstandslos & durchgeknallt – wenn der mond كلمات اغاني
- thouxanband flacko › thouxanband flacko – run up كلمات اغاني
- limon limon › limón limón – hot pink tiger كلمات اغاني
- kvilan › kvilan – lonesome كلمات اغاني
- gonoodle › gonoodle – banana, banana, meatball كلمات اغاني
- lil cumlord › lil cumlord – cum in my sock كلمات اغاني
- pink lincolns › pink lincolns – homeboy كلمات اغاني
- xxxtasy › xxxtasy – кино(movie) كلمات اغاني