kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbogi genje – riambez كلمات اغاني

Loading...

[intro: exray and smady tingz]
(big man ting, big man ting)
(badmon ting, badmon ting)
eh (mbogi genje)
taniua, eh
eh, ayaya
ati, ay

[verse 1: exray]
ni juu ya mzing saa hii niko ching_ching
lugha ya kimambo hadi niko jing_jing
nimenyanya, niko dim_dim
king king, matululu ting_ting
ah di badmon, niko ping_ping
wesh ako [?] juu ya dikwara
kabla nikuchai, nikupeleke na mtara
gwala gwala, zied, dala dala
gala gala wote watakudara
a_rap hii verse ndio usikie inna di rush
moment of silence, tuwashie shash
juzi walimuok na ati leo wamepasha

[chorus: guzman and smady tingz]
kuja mbaya nikugeuze mboga (mboga)
na nimebonda vile niko mogoka (niko)
machingri bado zinacheza kwa mongo
nakucheza mbaya ukizidi kutafash (tafash)
tuko nzakwa, wako shomwi (tuko nzakwa)
na mariambez wako mamoshi (stand up for the riambez)
tuko nzakwa, wako shomwi (tuko nzakwa)
na mariambez wako mamoshi (stand up for the)

[verse 2: smady tingz]
luku diriba, toja imenyokungira (ngira)
alele, leo kuserekwa pira (wako pira)
na machaji leo tuko maondira
makang’ethe ni manduki za mafila
shashola ndio siezi ishi bila
kaki_dim, nakiliet na warena (na warena)
wakichuom nawavutia mbegega (mbegega)
round hii, itabidi wameteveva (wameteveva)

[chorus: guzman and smady tingz]
kuja mbaya nikugeuze mboga (mboga)
na nimebonda vile niko mogoka (niko)
machingri bado zinacheza kwa mongo
nakucheza mbaya ukizidi kutafash (tafash)
tuko nzakwa, wako shomwi (tuko nzakwa)
na mariambez wako mamoshi (stand up for the riambez)
tuko nzakwa, wako shomwi (tuko nzakwa)
na mariambez wako mamoshi (stand up for the)

[verse 3: guzman]
look amilisha, zangu ni clean sheet
slippery, wanadai niko ma_grease
niko full_term, ongeza pace
hii watasema tumechaja na ni venye niko ganja
[?] ule mpapa
na ndio fisi hatari, tena sana
bila pressure kama puncture
mi m_hard kaa, “fuliza, we okoa”
beti na mahedi ziko kwa kebi
niko rampage za wikendi
kaa ni box, utazama bila expense
alialala lupita, usizundishie team

[chorus: guzman and smady tingz]
kuja mbaya nikugeuze mboga (mboga)
na nimebonda vile niko mogoka (niko)
machingri bado zinacheza kwa mongo
nakucheza mbaya ukizidi kutafash (tafash)
tuko nzakwa, wako shomwi (tuko nzakwa)
na mariambez wako mamoshi (stand up for the riambez)
tuko nzakwa, wako shomwi (tuko nzakwa)
na mariambez wako mamoshi (stand up for the)

[verse 4: militan]
kwa sinting, wacha tifla na maefla
wamemokre kwa malegi na mafozi
kidale, piga wapi na mandunya
mang’oi, kuwakata na manyoi (ng’oi)
waafisa wametambua maroko (roko)
matibien, mi huwatekesa maombling (ombling)
dimanga, ma_ghetto yout wanasofa
kwa jaja, wote tuko tu ital
jaba yu ni za kizing, ni za topa (proper tings!)
kunikibla na madibla (dibla)

[verse 5: exray]
uh, sina mbogi, [?] wote walikangwa
far east, morio anzenza alimangwa
[?] wako akini_diss
ess yu huwa dii hadi yeye alitii, ati
geng geng zako waku_beng sh_t
king king, wakiritho, [?]
[?]burn na makali
nganya huku area ni safari rally

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...