kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbogi genje – kamkoba كلمات اغاني

Loading...

[intro: smady tingz]
(vdj jones)
mbogi genje, kamkoba (genje ni mbwaya)
kamkoba (genje ni mbwaya)
(mavo on the beat)

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[verse 1: smady tingz]
kamsupa na kathombotha (kathombotha)
zilishika akavua hadi toja (hadi toja)
n_z_gonga anadai akingoja
n_z_gonga anadai, “sitaki moja” (sitaki moja)
mi ndio roro, namba saba
mi hufunga dude zote hadi gwatha (hadi gwatha)
akajibamba, akatupa hadi rubber (hadi rubber)
tukimada atapiga msalaba (msalaba)
mi hukawia nikidandia
na nikikam through utanik_mbatia
na nikikam through utanik_mbatia
na nikikam through utanik_mbatia

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[verse 2: guzman]
digi ayiela, amenibamba (bamba)
na kuzied hio mkoba, amenimada (ha_ha)
na akizama, walai, amejing’ora
kakijipa, itabaki kamewika (ai)
k_manga uchi, uijazilie kut_kut (kutu)
aki, walai, ni lazima apige nduru
chini ya waba, mchezo ni ya w_nga
utani_like, mi ni super striker (striker)
nai_k!ll, utawika mbaya
hii ni dudu, utawika mbaya
utashinda ukiniita mbaya
(na mi nitaitika mbaya!)

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[verse 3: militan]
na_realise mi hukwaria zireu
dangulo, nimezunda ka wa mbwegze
umojing, kwa wazing, militan kuwa_sting kama bee
wako steam, niko biz, mr chingri
rima zote kuwariet, wanabaki na matiash
ni kutiaf, kujichapa, kuwatoka tuna_hype
kuwa_mash up, kuwanyam, [?] zime_time
mbogi genge to di top, kuwashikisha na uras
nawatepa na machieng
niko riang, niko rieng, utanipata umojeng
nawatepa na machieng, utanipata umojeng
nawatepa na machieng, na_nawatepa na machieng

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku_perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[outro]
(mavo on the beat)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...