kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbogi genje – ikijipa كلمات اغاني

Loading...

[intro: smady tingz]
unaweza zitoka zikingwata (zikingwata)
time ulipo, utanipata pon di gutter (pon di gutter)
mashashola zimewaka, ni mogatha
na zikikubamba unaweza chain mamorata

[chorus: dede tarshian]
bum_bum bigi, bum_bum, chiki_chaa (chiki_chaa)
puff_puff nikijam_jam, shikisha (shikisha)
bum_bum bigi, bum_bum, bum (bum)
puff_puff niki_jam_jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[verse 1: smady tingz]
(smady tingz)
headbad toka nikuwe m_less
kaa ni tapo mi hu_patch, utadhani nfs (nfs)
nilichorea mangem, tupatane mambadeng (mambadeng)
mashashola ndio vitu tu kwa mine na_finesse (na_finesse)
diang’a songi n_z_piga shifla
na kikoro, njamu, mboka na kichizla
tunatesa, na wakoba ni waafisa
kuwashwisa, riang ficha, riang fitsa
tuko na shang, niko na gang
na mariambez wamemuok, wanadai kuzi_burn (burn)
zilipuke kaa vile zinalipuka iran
si zi_burn? hatu_mind warazi waking’am (waking’am)

[chorus: dede tarshian]
bum_bum bigi, bum_bum, chiki_chaa (chiki_chaa)
puff_puff nikijam_jam, shikisha (shikisha)
bum_bum bigi, bum_bum, bum (bum)
puff_puff niki_jam_jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[verse 2: rix roro]
tuko na projo inafaa kuwa mbele
mbogi genje kuchachisha, si umeme
mtoto m_wide kama river kamene
napiga mpaka _n_lia, tuko matembe
mboko tanga_tanga kaa mamende
akwende, anajiona amemea pembe

[verse 3: guzman]
guzman ndio mwenye wanamwika (guz)
na warosho zote wananiwinda (wanasaka)
watanauwo mbogi genje cha lazima (watanauwo)
leta mambo, uone ukipangwa (eh_heh)
rusha diss, tuwache unajishuku (eh_heh)
kaa na mambo, si huwaka kama nare

[chorus: dede tarshian]
bum_bum bigi, bum_bum, chiki_chaa (chiki_chaa)
puff_puff nikijam_jam, shikisha (shikisha)
bum_bum bigi, bum_bum, bum (bum)
puff_puff niki_jam_jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[verse 4: militan]
mi hu_vibe tu, ni kaa niko malego
mbogi_lise inarieng tu, ni machweng’a
mausgan zimeliet, ni mogatha
tuko nditni, ni maziwa tu kwa bori
na machaji wamekwaria mamokish
kwa lagunya, mi hubeba tu mabompa
maayiela wameliet kaa warena
tuko tifin, kila rima ni ma_rasclaat
kuwadoshwe kwa warena
dabo zangu, mi hupiga za ki_roro
ni malego, ni malego kama gwethe
haunauwo safisha, hatunauwo waganis

[chorus: dede tarshian]
bum_bum bigi, bum_bum, chiki_chaa (chiki_chaa)
puff_puff nikijam_jam, shikisha (shikisha)
bum_bum bigi, bum_bum, bum (bum)
puff_puff niki_jam_jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[outro: smady tingz]
vige master, bie gangster
ah wah do slambo? dem care an do
ah wah do jamie? yu no fi see me

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...