marioo – manyaku كلمات اغاني
blacq, blaq
they call me toto bad
sir god kauba kapatia
hana dosari ana vutia
sebure kwa chumba kajazia
lahda asali ana natia
akitupia ana pendeza
kama mdori
lips colour mpaka raha kama kachori
namba d car hajatembezwa bado kigori
kama kungu kala
mpaka raha
jicho goroli
kama samaki sangara
hiyo miyo mikogo (wacha bwana)
manyaku kama nawaona
nimacho kodo mieee
akini touch touch
moyo una dundaga
una dundaga
akisema sitaki
akinuna moyo una dundaga
una dundaga
wapo watao sema hunifai
ili wakuchukue
vaniachie majanga
penzi wa chakachue
watakodi madinga ma tai
ili wakuzuzue
wajitie waganga
penzi waligangue
ujasiri sina wa kuvumilie
unapo amizwaa
huo moyo sina
nikizama kina mpaka
kama samaki sangara
hiyo miyo mikogo (wacha bwana)
manyaku kama nawaona
nimacho kodo mieee
akini touch touch
moyo una dundaga
una dundaga
akisema sitaki
akinuna moyo una dundaga
una dundaga
manyaku nyaku
manyaku nyaku
كلمات أغنية عشوائية
- michael motorcycle › michael motorcycle – duper super man كلمات اغاني
- the mighty diamonds › the mighty diamonds – danger in your eyes كلمات اغاني
- spiritless sway › spiritless sway – bronx girl كلمات اغاني
- lanting › lanting – doing 2 much كلمات اغاني
- neverreallylost › neverreallylost – no remorse كلمات اغاني
- vamp leek › vamp leek – 5eva كلمات اغاني
- m i a › m.i.a. – marigold كلمات اغاني
- lablackie › lablackie – costilla de raxet كلمات اغاني
- 11pheno › 11pheno – painmodel كلمات اغاني
- manasik karagar › manasik karagar – rakchyas كلمات اغاني