marioo – ifunanya كلمات اغاني
hmmmm… hmmm yeah
baby nipe mimi tu
vile vya uvunguni
mwenzio kwenye mapenzi
nishaenyeka
nifikishe mpaka juu
mawinguni
mwenzio kwenye mapenzi
nishaenyeka
kama koroni sina hata moyoni sina
( zaidi ya wewe)
chaguo linguine sina
ndio maana nakufata nizikwe na wewe
acha nikwambie tu
hii siri ya moyo w_ngu
hata nikificha mboni zitaniumbua aah
acha nikuonyeshe kina na upama wa mapenzi yangu
na huwe w_ngu wa milele niwe wako
ifunanya … ifunanya
ifunanya … ifunanya
nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nkachoropoka
hile kutapa tapa kama mufa maji nkakorofoka
nikawa na chembe ya ukicha aah
mikasa ya mapenzi inakorokocha
simanzi kutwa kuccha sijiwezii iih
basi chonde chonde iwe mwisho na usije nikatili
hayo majeraha uniuguze uniuguze
illa acha nikwambie tu
hii siri ya moyo w_ngu
hata nikificha mboni zitaniumbua
acha nikuonyeshe kina
na upana wa mapenzi yangu
na uwe w_ngu wa milele niwe wako
ifunanya … ifunanya
ifunanya … ifunanya
aaaannhh mwenzio ooh
ifunanya
kwako wee ndo sijiwezi
ifunanya
hata nyendo sina aah
mbele sioni iih
ifunanya
nakupendaga wewe tu (ifunanya)
hmmhh yeahh … hmmmmm
كلمات أغنية عشوائية
- aviva thisisaviva › aviva (thisisaviva) – hypnotized كلمات اغاني
- yuki › yuki – new kind of war كلمات اغاني
- dark polo gang › dark polo gang – amiri boys كلمات اغاني
- prodigio › prodígio – último novinho كلمات اغاني
- sunshine pink › sunshine pink – and, it’s you كلمات اغاني
- lil shrecc › lil shrecc – good ol’ dine كلمات اغاني
- erlis › erlis – most długi كلمات اغاني
- dev john › dev john – trying to leave كلمات اغاني
- suzy jones › suzy jones – if you don’t wanna love me كلمات اغاني
- kuraban › kuraban – trying ft snow كلمات اغاني