kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

marion shiko – ahadi zake كلمات اغاني

Loading...

nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu bwana
alihadi atatenda, mtumanie bwana
ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda
roho yangu nafsi yangu, mtumainie bwana

kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
aliahidi atatenda, mtumainie bwana

mawazo yake sio yetu, njia zake si kama zetu
mbingu zilivyo juu ya nchi, mawazo yake ni makuu
ataagiza fadhili zake, wimbo wake kw_ngu usiku
sifadhaike usiiname, mtumainie bwana

kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
aliahidi atatenda, mtumainie bwana

kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
aliahidi atatenda, mtumainie bwana

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...