kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

manasseh shalom – njoo كلمات اغاني

Loading...

mmh

[verse 1]
njoo nikuibie siri
iko jamaa anakupenda mana
tangu hizo enzi za nyayo
moyo w_ngu umebaki wako
walami wanasema ‘one of a kind‘
ukambani we ni ‘mundu wakwa‘
hata twende wapi
utabaki kuwa tunda la macho
[bridge]
nak_mbuka maneno ya mama
aliponiambia bibi mzuri
baraka ya mola
moyoni mw_ngu nahisi kutabasamu
uwe w_ngu
basi baby…

[chorus]
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi
njoo njoo njoo
uwe w_ngu milele
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi (kwa wazazi)
njoo njoo njoo
uwe w_ngu

[verse 2]
mwanzo haukuwa mzuri
ingawa sasa nimekubali
wito wa mola
nitakupenda invyofaa
kuna ambao watasengenya
lakini love tusikate tamaa
siku zijazo
nyumba yetu itajawa furaha
[bridge]
nak_mbuka maneno ya mama
aliponiambia bibi mzuri
baraka ya mola
moyoni mw_ngu nahisi kutabasamu
uwe w_ngu (uwe w_ngu)
kipusa…

[chorus]
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi (kwa wazazi)
njoo (njoo) njoo njoo
uwe w_ngu milele
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi (kwa wazazi)
njoo njoo njoo
uwe w_ngu

baby
uwe w_ngu milеle
uwe w_ngu baby
uwe w_ngu kipusa
ni wеwe nachagua

[outro]
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi
njoo njoo njoo
uwe w_ngu milele
njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi
njoo njoo
uwe w_ngu

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...