malika – kama zamani كلمات اغاني
w-ngu muibaka, sikuezi sikuoni
tangu kuondoka, moyo umo msibani
sijui hakika ilokuudhi ni nini
naombathe mkaa unijaze kwa makini
chorus:
mimi nakutaka mimi nakutaka
mimi nakutaka, sijui wewe unani?
wewe unani? wewe unani?
nakutaka (wewe) nakupenda (wewe)
nakutaka (wewe) nakupenda (wewe)
sijashiba na bado nakuthamani
laniadhibu pendo lako fulani
fanya kulahali, fanya kulahali
fanya kulahali, urudi kama zamani
kama zamani, kama zamani,
nyonda fanya hima, usichelewe haraka
ingiwa huruma, juwa mimi nakutaka
usiniweke nyuma, kwa mapenzi nateseka
tuishi daima, kwa kusema na kutheka
(chorus)
naona udhiya, wewe kuwa nami mbali
yangu mazoeya, kabisa kutoa ya ajali
hebu fikiria moyo ni zidi thakili
bwana niridhiya, nitunze yangu akili
(chorus)
sitotia toba, kukuatha duniani
bado sijashiba, nakuaza muhisani
n-z-taka hoba, mwenziyo nimaraghini
nipe zako tiba, utunze kwa makini
(chorus)
makosa nirudi, ikiwa ni makosani
siwe mkaidi, kweli yako ubaini
ziweke baidhi, maudhi futa moyoni
na kw-ngu urudi, kama hali ya zamani
(chorus)
كلمات أغنية عشوائية
- hyuko › hyuko – feels like roller-coaster ride كلمات اغاني
- as i rise › as i rise – riptide كلمات اغاني
- vibe › vibe – 1 years, 365 days كلمات اغاني
- hip hop feat gus lanzetta › hip & hop feat. gus lanzetta – funk triste كلمات اغاني
- mrs x › mrs x – 80 miles away كلمات اغاني
- j t machinima feat andrea storm kaden › j.t. machinima feat. andrea storm kaden – join us for a bite كلمات اغاني
- suvi terasniska › suvi teräsniska – puolikas (vain elämää kausi 5) كلمات اغاني
- jew boy brown › jew boy brown – weeb dreams كلمات اغاني
- movida › movida – eres luz كلمات اغاني
- sambea cochrane › sambea cochrane – ticket to new york كلمات اغاني