kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

magix enga – mambichwa كلمات اغاني

Loading...

(hook)
yeah mambichwa, aha mambichwa
mambichwa mambichwa
(magix enga on the beat)

verse 1 (magix enga)
niko na bash kuingia kam na g bag
na k-mejaa sijui hata majina
unaitwa nani? (nilimaliza kusoma)
anajibu vitu hata sijamuuliza
ako na kibenje, ndani imejaa manyongi
ako na mambichwa anasema ye ni pedi
ushai choma ukaskia tumbo kwa mgongo(ah zii zii)
unambeba ukiamka ni ong’ong’o(sijai)
zimenishika najiona niko na doh
ayayayaya k-mbe ni jaba
zimenishika najiona niko na doh(kwa mf-ko)
ayayayaya k-mbe ni jaba

(hook)
yeah mambichwa, aha mambichwa
mambichwa mambichwa
yeah mambichwa, aha mambichwa
mambichwa mambichwa

verse 2(exray)
njoki nadai kukusesea kwa choo
doki anadai kukudungia kwa choo
njeri nadai kukupatia kitom
head shoulder knees and toes
bend over miss and pause
w-ngare si unapenda makagare
amejibeba utadhani ako ngangare
na utoto utadhani ako nursery
alitekwa na chris, utadhani ni kantai
ako dryspell utadhani ni masai
ikus inatupa utadhani ni mortuary
anakatwa utadhani ni butchery

verse 3(odi wa murang”a)
ni kimbichwa changu, nimejegwa na pedi
nasipei mtu, nakivuta nimedi
ni kimbichwa changu, nimejegwa na pedi
nasipei mtu, nakivuta nimedi
mi ni odi na napenda dina
na jegi shapeless ka kisogo ya obinna
na leo kasi na rubber mi nina
chimba rodinyo kisinyore ya loya
staki stori mingi mi nadai kukukemba
na ka ungekuwa tire singebakisha ata pyenga
nilikufunga bao juu nilinyanyisha refa
na abudu ndom, jegi, turi na bado ebenezer

(hook)
yeah mambichwa, aha mambichwa
mambichwa mambichwa
yeah mambichwa, aha mambichwa
mambichwa mambichwa

verse 4(madox)
seti mambichwa, vinchi da vinchwa
aiyayayaya si kashajipa
kata mawaya mahaga tushatinga
cheki si mabooze but wanapenda timber
seti tu malooks ni wahindi kalasinga
vile wako ready tuko subway cheki simba
niza tom and jerry madimanga na majiba
aii twende n-z-ma
nimekunywa ng’ang’o bila jina
sembe leteni na dozen mzima
rende ni geri mvinyo naminya
magix enga hapa tu ni kuwatinga

outro(odi wa murang’a)
oxygen takatifu punga hewa(mambichwa)
black mamba ndani ya msitu inataka(mambichwa)
ni mashada na mbivu vuta hewa(mambichwa)
vuta hewa hadi unatosheka
oxygen takatifu punga hewa(mambichwa)
black mamba ndani ya msitu inataka(mambichwa)
ni mashada na mbivu vuta hewa(mambichwa)
vuta hewa hadi unatosheka

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...