kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mackd zo – vumilia كلمات اغاني

Loading...

vase 1
tangu nilipo kuona kwamara yakwanzaaa
ulini vutia. kwa mwengine sikuona tena
urembo wako,,, uzuri wako nanywele lainiii
ukija nikosea utanitoa maini
hata nikiwa sina jua kesho nitapataaa
wasikudanganye navisendi
ukanikimbiaaa
wakiongea wachawaseme usiku watalalaaaa
ayatuhusu kwanza nipe basuuuu
vumilia vumilia mpenzi w_ngu
vumilia vumilia kesho tutapata
vumilia vumilia kesho tutapata

vase 2

mapenzi yanatesa wacha niyakiri…
kuku acha kwenda kwa mwengine kw_ngu hiyo sifikiriii..
ndomahana hata kw_ngu nimekusitiri
wanaokufata wote jua nimakafiri
usijaribu kuwapa nafasi
wakisha kutumia wanaingia mitini
maisha safari inaitaji uvumilivu ndomana sikuzote utanipata kwenye dini
nikililia god anipe utajiri
kwamaisha yangu yote niweze kuk_miliki
hadi ileday tutaishia kaburini
familia tuijenge isije ikafa masikini
tumiliki manyumba pia namagari
we niw_ngu niambie kile unaitaji
kw_ngu hiyo sioni kama nimaitaji
kupenda nakupenda kw_ngu iwеzi kua siri
wacha wasema umenikalia chapati
mimi kama simba nitawapunguza ngori
tukimbizane kama wanyama pori
ukiwa nami bеbi usiwori
becouse i am that much holy
vase 3

wacha waseme usiku walalala
kwamaneno yao isitunyime usingizi
vumilia mpenzi tutazidi kwamaneno
yao watabaki namachungu
wacha waseme usiku walalala
kwamaneno yao isitunyime usingizi
vumilia mpenzi tutazidi kwamaneno
yao watabaki namachungu

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...