kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mac voice – nampenda كلمات اغاني

Loading...

next level music
nasdaaaa
njia tambalale

nimesahau mabonde milima ya kale
ooh wawawa
haupo kama wale
me nawe mapacha saresare
oooh oooh
kasukuuuuuuuu
ndege w_nguuuu
muchuchu
tamu yangu
kasukuuuuuu
ndege w_nguuuu
muchuchu
tamu yangu
nimepata kamwali oooh mama
toka zanzibari ooooh mama
kanilambisha asali ooooh mamaa aaaah asali toka pemba
kuwa zuchu unipe sukari oooh mama
tukizima kibatari oooh mama
kama mbosso mie hodari oooh mama aaaah hodari wa mapenzi
nampenda anakasura cha upole na macho ya kusinzia
nampenda kafunzwa mkole sichoki k_msifia,
nampenda yeleleyelee jamani anavutia nampenda
pete kidole ndicho anachosubiria
tusigombane lakini aaaaah
yaliwakuta wengi yasinikute na mimi
nimekupenda niamini aaaaaah
tuumizane moyo
tutesane kwanini aaaah
yamewatesa wengi
wengine washaji yonga
kisa mapenzi oooooh
usiniache mupenzi
nisije kunywa sumu
kisa mapenzi oooooh
nimepata kamwali oooh mama
toka zanzibari ooooh mama
kanilambisha asali oooh mama
aaah asali toka zenji
kuwa zuchu unipe sukari oooh mama
tukizima kibatari oooh mama
kama mbosso mie hodari oooh mama aaaah hodari wa mapenzi
nampenda ana kasura ka upole
na macho yakusinzia nampenda
kafunzwa mkole sichoki k_msifia nampenda yeleyeleyele
jamani anavutia nampenda
pete kidole ndo anachosubiria
hata waseme sura mbaya
kinawahusu nini
nampenda
hata wamuiite malaya
kinawawasha nini
maneneo kibao sitakiiiii nampenda
hata muweke vikao
simuaachiii
vice

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...