kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mac voice feat. mbosso – only you (feat. mbosso) كلمات اغاني

Loading...

lala lila lilaah
mocco!

mbona mimi sijui
nina nini sijui
umenipa nini kidawa
kila unachofanya ni sawa
hakipandi chakula mda wa kula yani mpaka unilishe
usiku usingizi sina mpaka ulale wewe (aaaah)
una uzuri wa sura na hiyo chura ufundi usizidishe
we ni size yangu kina twaendana wewe

you′ll be there for me my baby
i’ll be there for you my baby
baby, wewe ni w_ngu

ukicheka mashavu vishimo
mtamu mpaka kisigino
we ndo mamilove
wendo mamilove
mapenzi hayana kipimo
mi na wewe tu kucheat no
nisha dondosha wino ooh
nisha dondosha wino ooooh!

only you, only you, only you, only you, only you
only you, only you, only you, only you, only you
mungu anaumba
mungu anachora
mungu anayakatakata maumbo
mungu anafumba
molah!
kakujaza jaza nyama lundo
si ndoma si kokoto
vimacho vyako changalawe
mwili homa nahisi arosto
tuanze kula ndo tunawe
my chioma my tototo
ukinmwagia sandakalawe
sodoma nauona moto
ukibiduka paranawe

mwarubaini ni dawa ya tumbo
usiichanganye na sukari (oooh na sukari)
nimebaini penzi ni fumbo
si maandishi ya daftari

ukicheka mashavu vishimo
mtamu mpaka kisigino
we ndo mamilove
we ndo mamilove
mapenzi hayana kipimo
mi na wewe tu kucheat no
nisha dondosha wino ooh
nisha dondosha wino ooooh!

only you, only you, only you, only you, only you
only you, only you, only you, only you, only you

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...