kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

luqman atigh – mama كلمات اغاني

Loading...

nani kama mama?
katika hii dunia
kwa mapenzi na huruma

mfano hajatokea

nani kama mama?
katika hii dunia
kwa mapenzi na huruma
mfano hajatokea

mama
mama
kipenzi cha moyo w_ngu

faraja ya moyo w_ngu
kipenzi cha roho yangu
amenikirimu mungu
ni mama
ni mama
ni mama
ni mama

ufunguo wa maisha yangu
na dhamana ya pepo yangu
ni mama

faraja ya moyo w_ngu
kipenzi cha roho yangu
amenikirimu mungu
ni mama

hata ukiwa na dhiki
mama yako hakutupi
kukucheka hadiriki
ni mama

hata ukiwa na dhiki
mama yako hakutupi
kukucheka hadiriki
ni mama

haijalishi ntavokuwa
mama utanipokea
mzuri au mbaya
wewe hutonibagua

haijalishi ntavokuwa
mama utanipokea
mzuri au mbaya
wewe hutonibagua

chuo changu cha kwanza
ni wewe w_ngu mama
maadili umenifunza
ili niwe mtu mwema
maadili umenifunza
ili niwe mtu mwema

rabbi umrehemu daima mama yangu
kila lake gumu
mfariji mola w_ngu
mama yangu umrehemu
nakuomba mola w_ngu

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...