lixel rols – nairobi كلمات اغاني
nyama zinachomw-nga
ngoma zinagoganga
na watu wanasonganga
maji tukikatanga
ka jaba tunachananga
lolo zinalambw-nga
na mito zinasonganga
matatu zikigo gaga…
nairobi, nairobi, nairobi
tembea kwa makini
siulize kwa nini?
wajanja wengi sana..
wa mbogi na mipini
warembo weh..
heeehe! kijana utachizi
ukitaka kanungo..
wawili wawili, heehe!
kanungo, kanungo, kanungo
kanungo, kanungo
kanungo, kanungo, kanungo
kanungo, kanungo
ii jam tu ni aje joh
mbona inaleta noma
kanjo niaje joh
mbona unaleta noma
weh karau tu niaje joh
mbona unaleta noma
me i want to party
i want to party
in nairobi
nairobi
in nairobi
nyama zinachomw-nga
ngoma zinagoganga
na watu wanasonganga
maji tukikatanga
ka jaba tunachananga
lolo zinalambw-nga
na mito zinasonganga
matatu zikigo gaga…
nairobi, nairobi, nairobi
kusanywa mommy
kubondwa daddy
kucheki wathii
kudeal na wazii
kuchill jivanjii
na mapastor mwitu nanii
iwe wazi sipendi line za kupanda mathree
nikitoka kazi sitaki kusmama smama kwa njia
ii jam tu ni aje joh
mbona inaleta noma
kanjo niaje joh
mbona unaleta noma
weh karau tu niaje joh
mbona unaleta noma
me i want to party
i want to party
in nairobi
nairobi
in nairobi
nyama zinachomw-nga
ngoma zinagoganga
na watu wanasonganga
maji tukikatanga
ka jaba tunachananga
lolo zinalambw-nga
na mito zinasonganga
matatu zikigo gaga…
كلمات أغنية عشوائية
- lil loot › lil loot – problems كلمات اغاني
- flyngzlphnt › flyngzlphnt – vibe hang كلمات اغاني
- lance vw › lance vw – whole foods/boost my health كلمات اغاني
- pablo lopez › pablo lópez – 7 كلمات اغاني
- this do in remembrance of me › this do in remembrance of me – new tycoon كلمات اغاني
- nerdout › nerdout – i will not lose كلمات اغاني
- crayon pop › crayon pop – 스케치북 (sketch book) كلمات اغاني
- rah swish › rah swish – warm ups كلمات اغاني
- lee da hee 이다희 › lee da hee (이다희) – your eyes (acoustic ver.) كلمات اغاني
- ляпис трубецкой lyapis trubetskoy › ляпис трубецкой (lyapis trubetskoy) – lyapis crew كلمات اغاني