kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

linex – salima كلمات اغاني

Loading...

[intro: linex & diamond platnumz]
je je je, ah
the voa
tuddy thomas
wasafi…

[verse 1: linex]
salima, salima, oh
najua maisha yako
yaliyumba pale ulipo wapoteza
wazazi wako
yule salima wa jana
sio salima wa leo
amekua wa kujinania
na kujikata tamaa
iko wapi furaha yake
alivyokuwa nayo mwanzo
iko wapi furaha yake
alivyokuwa nayo mwanzo
salima nakusanze kasuru
kagonga wekuye tenga tinyanya
salima chenisange nguya
yena nasoma nawe mwengee
salima mi ni sange yule yule
milie soma nawe mwenge
zimeyayuka ndoto zako
ulizo kuwa nazo salima
[chorus: linex]
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
(oh, salima)
mie nataka niwe wako
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga
(oh, salima)
niwe baba wa watoto
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
oh, salima)
mie nataka niwe wako
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga
(oh, salima)
niwe baba wa watoto
(salima)

[verse 2: linex]
naomba hiyo bahati
ya kuishi nawe
idondokee kw_ngu
isiende kwa mwingine
yasije kuwa kama yale
ya mla nawe hafi nawe
yasije kuwa kama yale
mla nawe hafi nawe
usijikate tamaa
kuna wengi wana shida kuliko zako salima
wanaamini kupitia yule msemo
wa ridhiki hapo mbinguni kwake
wanaamini kupitia yule msemo
wa ridhiki mafungu saba salima, oh
[chorus: linex & diamond platnumz]
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
(oh, salima)
mie nataka niwe wako
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga
(oh, salima)
niwe baba wa watoto
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
oh, salima)
mie nataka niwe wako (moyo w_ngu mama)
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga (oh, mama)
(oh, salima)
niwe baba wa watoto
(salima)

[verse 3: diamond platnumz]
moyo unatamani
yaani kuwa kitabu ufungue (ufungue)
usione jinsi gani
unavyonifanya niugue
eh
zenda huri nana
uwawish
uwawi nashisee
pamoja kuherera baba
utungamizi
j_po niulimishe
utamu
utamu moyo w_ngu mi kupendwa nawe
utamu
sa nini tatizo mami basi sema nielewe
ah, salima, oh oh (oh aye)
salima, eh eh (oh aye)
salima, oh oh (oh aye)
salima, eh eh eh
[chorus: linex & diamond platnumz]
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
(oh, salima)
mie nataka niwe wako (mama)
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga
(oh, salima)
niwe baba wa watoto (mama)
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
oh, salima)
mie nataka niwe wako
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga
(oh, salima)
niwe baba wa watoto
(salima)

[bridge: linex]
i feel that i’m in love with you
i feel that my life is you
i feel that you’re the only one i need
i’m gonna trust
baby, i’m not perfect but
i’m going my all the way
and i just want to be with you
me and you, forever and ever

[chorus: linex]
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
(oh, salima)
mie nataka niwe wako
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga
(oh, salima)
niwe baba wa watoto
(oh, salima)
mie mwenzako nakupenda
oh, salima)
mie nataka niwe wako
(oh, salima)
tuwe na wana tujejenga
(oh, salima)
niwe baba wa watoto
(salima)

[outro: linex]
wako watoto kedekede
na watoto kedekede
shemeji mchange
wandese atanisaidia
(salima, salima, salima)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...