kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava – magufuli baadae كلمات اغاني

Loading...

baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

nenda salama baba
si tupo bado tw_ngojea
j_po tuna simanzi

twakesha kwa ibada
na dua njema tukuombea
watoto kwa wazazi

eeh ni mengi umetufanyia
shukrani nahisi haitoshi
kalale pema shujaa

taifa lakulilia
tw_tamani urudi tufosi
tumebaki na butwaa
kusema ukweli ulituhusia
tufanye na ibada
wanafunzi kufeli hutaki sikia
shule wasilipe ada

za kisasa reli umetuachia
ya juu madaraja
viwanda vya ndege mambombadia
mbona we hujavitumia baba?

baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

natamani siku zirudi nyuma
tukulipe j_po theluthi ya wema wako
ila haiwezekani, haiwezekani
ila, ila, msalimie nyerere baba

baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae
oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...