kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kurasini sda choir – tangu nimjue yesu كلمات اغاني

Loading...

tangu nimjue yesu na k_mkaribisha moyoni mw_ngu
yalopita yamepita na kuvaa utu upya ndani yangu
sijitahabishi tena ya kale hayana nafasi kw_ngu

nimevikwa utu upya nimekuwa kiumbe ndani ya yesu

utu w_ngu wa zamani umevikwa na kuvaa utu upya
sik_mbuki ya zamani yesu yu ndani yangu
nakimbilia wokovu kwa sasa yalopita yamepita
dunia kwaheri yalopita yamepita

maisha ndani ya yesu ni raha isiyokuwa kifani
magumu hurahisishwa yatoweka kwa jinsi usivyojua
mambo yote ya zamani hayak_mbukwi tena maishani
mpe yesu moyo wako utaona yote yanawezekana

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...