ksonrap – mtaani kwangu كلمات اغاني
yeah!..
ksonrap!
you know what i mean
naskika toka swazi sogodo ndani ndani;
mchakamchaka machata na machizi waliopinda; mangeu manyang’au misokoto ya majani;
babu na wajukuu wote wanaghani;
panyarodi kila chocho kila siku mahakamani;
chafu tatu mwisho wasiku huna kitu mf_koni;
bado tuna komaa tu na fani..tupo chimbo kama apolo mererani;
nyapara gerezani makachero wanatusachi hawatukuti hata na jero;
wengine walisepa stoloway wakatoswa na mgiriki baharini;
harakati magilini vituko uswahilini kichapo cha ugoni;
hakuna wakukudhamini mapoti wakiwakutia tu mbaroni;
nahii ni last warning next wanakulenga kwenye utosi;
mikosi tunafusi mimoshi maskani za wakushi;
hatuna habari kama vile tupo bush;
life la huku lina tia tu hasira;
kuokota makopo imekuwa ni ajira hatuna dira;
كلمات أغنية عشوائية
- hep stars › hep stars – tallahassee lassie كلمات اغاني
- melissa molinaro › melissa molinaro – dance floor كلمات اغاني
- neal peterson › neal peterson – downtown كلمات اغاني
- leucine › leucine – stand strong through landslides كلمات اغاني
- eddie cochran › eddie cochran – love again كلمات اغاني
- demi lovato › demi lovato – skyscraper كلمات اغاني
- hewitt huntwork › hewitt huntwork – my broken scottish heart كلمات اغاني
- hepcat › hepcat – black sky كلمات اغاني
- emcravens › emcravens – potty mouth كلمات اغاني
- feet first › feet first – weekend punks كلمات اغاني