kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap – matumizi ya r na l كلمات اغاني

Loading...

[intro]
ksonrap
jifunze matumizi ya r na l
you know what i’m sayin’

[verse: 1]
inanipa sana kero../
kiuwezo wadogo ka janjaro../
unashindwa kutamka !ata tomorow morogoro kilimanjaro../
utasema mdomoni una ugoro au mc wa vigoro../
hawajui tofauti ya mtalo na mtaro..habali na habari../
hatali na hatari..safali na safari..ntawapeleka tena jando kuwatahiri../ darasani tena kuwafundisha kiswahili..mswahili nomino nahau mstatili../
mtakosa hata madili kwakukosa maadili natabiri../
makafiri..njiani mtakosa usafiri mnashidwa kujistiri../
kwenye macho nawapaka pilipili../
hamuwezi kurap mkasuke tu ukili../
mnashidwa kuzitunza hata siri../
mnajiona wasanii kwakuvaa tu vipuli../
ngoma mbili mnajikuta ndo magwiji nnataka kushindana na manguli../
kama shivji au vitali napigana vita nivikali../
mauwaji ya kimbari../kaza buti tusonge kiaskari../
peku peku utakanyaga misumari/kwanza jikubali..tafakari../
piga duwa kila hatua kwanza sali../
mungu ndo amenipa hiki kibali../
navyopenda ushairi zaidi mchaga na mtori../
mi ndio simba kwenye pori../
usilate usela wakuwasha kitu shali../utafeli
ukitaka kwenda ulaya usizamie kwenye meli../
f

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...