kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

krazy e (the mad professor) – house party (we happy) كلمات اغاني

Loading...

hook
mrembo wa_ ghetto, mrembo wa_ uptown_ panda _ kwenye_ floor
huna_ dooh, but_ uko_ afya _ baby tupa love
wacha maringo songa hapa cheza yangu song
thank mungu uko hapa juu kuna form

ni weekend_ tunazoza na dj_ anaroga
team ni bie_ iko awesome no delay nikusonga
how we play tunafunga thirty goals kama olunga
mary jane zinafungwa joint ni strong kama zinga

kuna pesa kuna mzinga na wasee wanaimba
nikucheza na kuivaa juu wasee tumeshiba
ndani ya party tunatinga na kwa floor k_meshiba
usherati kawaida tunaf_ck kwenye vyumba

marafiki wanatinga kila mtu ako dimba
wanafiki wanachimba babylon inadunda
mashabiki kama simba wana roar ndani ya nyumba ( roaring)
halaiki tunashinda tunaglow kaa wachumba

vako tamu za saumu zinanibless kwenye chumba
tunasweat ndani ya room hardcore s_x kwenye chumba
kuna grade kuna gauge ni sherehe ndani ya chumba
higher grades higher gauge na mapeng wanak_mbwa
gangster party na mapuppy zinacatch zinashika
no nafasi ama wasiwasi me na team tunashinda
take nafasi sema asante n_gga juu tunashinda
wacha wasiwasi bado wakati kama g_ hujashinda

ni happy ni hepi ni party mzee
u lucky am lucky we happy mzee
bunduki na nafsi ni safi mzee
rada safi ni party ni awesome mzee
hook
mrembo wa_ ghetto, mrembo wa_ uptown_ panda _ kwenye_ floor
huna_ dooh, but_ uko_ afya _ baby tupa love
wacha maringo songa hapa cheza yangu song
thank mungu uko hapa juu kuna form

ni weekend_ tunazoza na dj_ anaroga
team ni bie_ iko awesome no delay nikusonga
how we play tunafunga thirty goals kama olunga
mary jane zinafungwa joint ni strong kama zinga

kila gaidi amekwama na wake
mbili mbili ndo number kwa party
wengine kama mimi nina kama watatu
esther, fibi, na saumu kwa mattress
ladies na mapozi
hawapendi vijana wanoisy
kwa sasa wanataka smokey
vela, pombe, na moshi
ni magangster galz_ am in love with them
hao ni pea smilez_ sio fujo mahn

coochie nice_ wako wasafi mahn
i love u tight_ to all the kenyan babes
niite mzalendo krazy napenda warembo
wale wa kutoka majengo, runda, western_ awendo

kina khadija from magongo, ama awinja _ kutoka bondo
lupita kutoka rongo, ama samir kutoka donholm
shiko, na shiro, lavender na muso
iyvone na vione, malemba na susan

(so) jah bless all cute galz
walinde popote in these world
am high nikiroga these words but, still f_ck it bado nagive thanks

juu party ndo inaisha na my buddies wamebambika
safely tunadondoka
hakuna mtu _n_lalamika

mrembo wa ghetto mrembo wa uptown
panda kwenye floor
huna pesa but uko afya baby tupa love
wacha haya songa hapa cheza yangu
thank mungu uko hapa juu kuna form
ni weekend tunazoza na dj anaroga
team ni bie_ iko awesome no delay tunasonga
how we play tunafunga thirty goals kama olunga
mary jane zinafungwa joint ni strong kama zinga

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...