kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

king kaka – nataka كلمات اغاني

Loading...

si ukalale kwa kitanda
kubari kwanza ucheze ( gani hiyo) (oyah king kaka)
nichezee ile ngoma ya sauti sol
ile inaitwa keroro keroro ( cheki nimekam na mandom)
nimekam na mandom

chorus
me nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
hadi wanibebe hadi wanibebe
me nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
hadi wanibebe hadi wanibebe

say u guy my guy
u promised me a boti
nikona madem kama kinde kwa moti
bed olympics mummie me ni pro

ka hauna credo usiniflash me si choo
vile umecarry bana me nimecarry rubber
true love ni mag haujasoma bana
tunasherekea kipchoge na akina kipkemboi

ambia stivo hamna la simple boy
kuna ule anaamua horror mwingine mapang’ang’a
bouncer anayechapana utadhani pasi pang’ang’a

chorus
me nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
hadi wanibebe hadi wanibebe

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...