kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

king kaka – adisia كلمات اغاني

Loading...

adisia adisia
hizo makofi za kilo adisia
adisia adisia
waiter unakaa kaa aje adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
hizo makofi za kilo adisia

niliwaachia wa_run nai, na daresalaam
mi na_fly over sky, nikepewa njugu karanga
na ma_hostess wanadai, we love your album
kalongo ni ya mama pima, na hype niliachia williams
nimejipin kama nappy, sling kama babby
hata waki_buy over_over, hawaezi copy
naskia kuna tumbili zinacheka na rasa national park
saa hizo ma_groupie wananipapasa wakinipikia lunch
kabla sijatoa ngoma, ma_dj wanaipea promo
wasanii wa_slim wanafura, utadhani ni wanono
wananimwagia chumvi, ndio ni_slow kama konokono
me ni sunguch, mi nitamake steps nono_nono
bado me m_tight kama budget ya msee amesota
na_dunda kama msee mf_ko yake imetoboka
wonder_boy, mjanjess, paraphernalia
hizo keyboard tamu, lakini, kanyeria
adisia adisia
hizo makofi za kilo adisia
adisia adisia
waiter unakaa kaa aje adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
hizo makofi za kilo adisia

nilikua na mistari nadai kusieze kama julio
hata kama talk is cheap, walidai ganji za studio
laser lights kwa club utadhani sniper wanasaka k!llers
na hawa madem wameni_kaba utadhani ni game ya mpira
wewe ni m_special kama offer, na umeji_bebea virago
so special, nilikuona kwa video ya mavado
since sikunywagi (waiter tot ya avocado)
madem bado huni_admire, ndio size 8 alishika fire
na wewe kusema rabbit sio king (una_preach to the choir)
nina shida ya macho, me siwezi kuonea wivu (aje)
hauna mbolea hauna mistari, shake yako haina wolves
ati sk!lls kali, (ati) ati wa_hot poker
(ati) ati snails zao, huwa zina_swim kwa salt water
(ati) ulimi zao, ndio mahali mistari hudondoka
ni ma_mc wana_wonder na hit moja, then wao missing
kama mp w_ngu au c_zars, na joe hamisi
adisia adisia
hizo makofi za kilo adisia
adisia adisia
waiter unakaa kaa aje adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
hizo makofi za kilo adisia

sahii nashugulikia mother anything, ndio akue happy
come uone jikoni yake, utai_confuse na shelves za tuskys
ma_shamba boy na ma_shamba girl, na hata hatuna shamba
ma_fans nawapa classics, juu walinipa taji
saa hizo hits zinajifwata, wanadai niko over_fertile
beenie, big meeting ni suti na tie
kile na_spit ni sick, lazima wai_tweet pick
talk of the city, hauezi ni_tooth pick
na shati haiwezi itwa sweater hata iki_shonwa na uzi nzito
full stop haimaanishangi, stori imefika mwisho
utamu wa hustle ni noti, utamu wa plaka ni njoti
na hii respect nili_earn, sikuibuy kwa shop
ati matata nipe respect, maziwa mbili na lollypop
maboys wanadoz mchana, ati usiku wako night_shift
nikitoka hustle wanadai, “oya nice kicks!”
hebu nione kama zina_fit, alafu hizo maganji rabbit
adisia adisia
hizo makofi za kilo adisia
adisia adisia
waiter unakaa kaa aje adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
hizo makofi za kilo adisia
adisia adisia
hizo makofi za kilo adisia
adisia adisia
waiter unakaa kaa aje adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
a_a_a_a_a adisia
hizo makofi za kilo adisia

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...