kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ken demacra – nipikie كلمات اغاني

Loading...

ken demacra nipikie lyrics
intro
dollar boy oyeeeeh

verse 1
si uko na raha uki fall in love
your heart show the love everything to you nice
my goody goody the one am looking for
your looking amazing when you stand at the door

macho yako nikiangalia iyeeh
wakaniambia kenny pepeta pepeta
yule manze anakupenda
ngozi yako mwepesi iyeeh
wakaniambia kenny basata basata
yule manze anakupenda

nishaa surrender kwako
nipe ama nikupe
nyuma ya nyumba kuna gari yako
kuna feni ikupepe mmmh
show me everything you want
’cause i desеrve to be
the onе call you honey
pepecha pepecha
cause your the one to be
let the viewers to comment
infact be loyal to me
your body nice
mimi kwako sina matatizo
njoo unipunguzie mawazo
alikusalia mia pizzo
asijenipiga madazo

asa nipikie nipikie nipikie
kata nyanya tatu
weka kitungu saumu
ntashiba amepika tamu
asa nipikie nipikie nipikie
kata nyanya tatu
weka kitungu saumu
ntashiba amepika tamu

ntasema wasikiee
kw_ngu yeye parasitamol
unitibu ugonjwa wa moyo
usikie polepole ooooh
we ni w_ngu sitakuwacha eeeh
unikatie makucha aaaaeeeeh
kwa mpira utakuwa ooooh
nikaze ka silisili
oyaaaaah kwichikwichi
mmmh kujiswichiswichi

macho yako nikiangalia iyeeh
wakaniambia kenny pepeta pepeta
yule manze anakupenda
ngozi yako mwepesi iyeeh
wakaniambia kenny basata basata
yule manze anakupenda
mimi kwako sina matatizo
njoo unipunguzie mawazo
alikusalia pia pizzo
usijenipiga madazo

asa nipikie nipikie nipikie
kata nyanya tatu
weka kitungu saumu
ntashiba amepika tamu×2

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...