kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ken demacra – maendeleo كلمات اغاني

Loading...

ken demacra
maendeleo lyrics
intro dollar boy oyeeeh

anytime ukiwa utakakuwa tajiri
unafanya unachoweza wazo isikuwe siri

hata kama unasuk_ma mkokoteni hiyo ni kazi
hata kama unaendesha nduthi hiyo ni kazi
hata kama unakaranga chipo hiyo ni kazi
hata kama wewe ni tailor hiyo ni kazi

gizagiza gizagiza totoro inabana
uliza uliza nyoro inabana

can you wait a bit long
kwa maana mi si lair
i ask you again what’s wrong
ukasema uko vibaya

mpesa mpesa ngoja nitatuma kitu
kabisa kabisa unalewa
hamisa himisa weka pawa
hakina hakina hakina nguo
kanipa kanipa kanipa dooo
mwenzangu ukinipa kidogo nitashukuru
tena sitaki mingi itamwagika
bazu big man bazu
wewe ndio bazenga

tunataka maendeleo
tunadai maendeleo
tunataka maendeleo
tuadai maendeleo

real life ingekuwa aje kama kila mtu ni tajiri
anaye jua ni rabana sikia usigeuke njiri

kokoto kwa nyundo tunatw_nga ndo tupatе riziki
hata uku kwenyu namanga ni mziki
mtura kwa rodi unachoma upate cheda
buchari kukata nyama sio msada

somеtimes via your dreams
unajipata uko ikulu
there they don’t do blames
mbio zako nyumbu

mwenzangu unahustle
mwengine anakuja anaiba
wengine wanapeana mwili
chunga usipate mimba
onananananah
mwenzangu ukinipa kidogo nitashukuru
tena sitaki mingi itamwagika
bazu big man bazu
wewe ndio bazenga

tunataka maendeleo
tunadai maendeleo
tunadai maendeleo
tunataka maendeleo
ooooh maendeleo
tunadai maendeleo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...