k son rap – walikuja wakapotea كلمات اغاني
(walikuja ..walikuja… wakapotea..
(walikuja wakapotea..x2)
alikuja top c kwasababu ya ulofa akapotea..akaja mr nice akavuma akapotea.. pnc akasema wenzake wamebuma.. ikafika zamu yake akapote..mnamk_mbuka babu seya..mzee wa konkifire alisema atabaki kileleni.. mbona kapotea..hamorapa miatisa itapendeza..naekapote life haiko fair.. bash_te koromije akatrend akapotea…akaibuka konkimaster dudubaya faster akapotea..kilichompata mwanajua wa dizasta..kimepata na sabaya..kule arusha.. alisema yye ni jiwe kweli kweli mbona kapotea..mwenda zake kaenda zake..waliobaki niwachache..akaibuka mzee mpili akashuka kwa kishindo kwenye jangwa la utopolo ghafla akapotea..waliopata umaarufu wakauchezea wengi wamepotea..kijana mteja daz baba maji ya shingo nae kapotea..kipindi kile cha ambikile.. alinipishe.. hakudumu sana kwenye tasnia akapotea..atokee jasiri aongoze njia..maana baada ya kufa kanumba bongo movie kwenda international ikapotea..
كلمات أغنية عشوائية
- mdxx › mdxx – тусовка фриков (party freaks) كلمات اغاني
- 井口裕香 yuka iguchi › 井口裕香 (yuka iguchi) – 革命前夜 (kakumei zenya) كلمات اغاني
- flie › flie – сука спускается вниз (bitch goin’ down) كلمات اغاني
- ביג סאזו › ביג סאזו – big crack – ביג קראק – big sezo كلمات اغاني
- superhuman › superhuman – indie 500 كلمات اغاني
- puner › puner – #hot16challenge2 كلمات اغاني
- mc paiva › mc paiva – camisa de time (desce só de label) كلمات اغاني
- josef dawoud › josef dawoud – they كلمات اغاني
- kidd keo casaparlante › kidd keo & casaparlante – bando boyz free 2 كلمات اغاني
- pbg kemo › pbg kemo – slime em out كلمات اغاني