kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

k son rap – tatizo كلمات اغاني

Loading...

tatizo vita ucrein mafuta bongo yanapanda bei..imekuwa tatizo../gharama maisha zimepanda mkiongeza tena tozo inakuwa bonge tatizo../msemaji akiwa tive ake hili nalo tatizo../dili za magendo mkikosa uzalendo..mkikosa upinzani..bunge la ushindi wakishindo/..kwenye jiji la makala..mgambo na mchinga kariakoo../bado tupo local vp international..pia ni tatizo../tatizo ni madawa ya kulevya mateja panya rodi../wengi wana kwepa kodi..wagonjwa wanafia kwenye wodi../unyanyasaji ukeketaji mila zakijadi bado nitatizo../

tatizo mn_z_ngua mnajijua../
tungo zakitoto..kimuziki hamjakuwa../ tatizo hamjiziki vitabuni..
ngoma zenu zikitoka../zote n_z_tia tu kapuni../tatizo hamfati misingi hata kanuni../hamjui kuwa hiphop utamaduni../tatizo mnajikuta wabishi taikuni..mpo bongo kimawazo ughaibuni../mnatamani mgekuwa lildark..lilbaby tatizo haliduni../

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...