kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

k son rap – sitabiriki كلمات اغاني

Loading...

nimebobea kwenye beat kama rap scala..bongo nai to kampala..natisha nipo very deep kama ziwa chala..ngumu ku impress hii medula..hii mistari hela n_z_gawa kama bank taller..siitaji wakunimanage sio tale wa fela..king of best melody kama bella..nachimbua rap archeology sina peace na mawaki nimewatupa jela..zingatia itifaki uhuru ni wa bendera..waliosema watadumu wapo hoi kwenye machela..n_z_di kuyatupa makombora..africamashariki mkokenya mkombola..kada kwenye chama zaidi ya pala..natawala…hizi level hawafiki wafupi kama mwala..hili chimbo hasmati ameyatimba rockarfella..leo umenikuta kwenye ubora..kwenye chati kama dollar..thriller in manila..pisha kwenye barabara nimejaza vina kama abiria kwenye daladala za mbagala..hauna stamina kiuwezo wao bado nikabwela..dula makabila..nawacontrol kama drug dealer..mi ndo silent k!ller..sio mikwara wasaliti nawatoa tu kafara..mwendokasi ruti ndefu kama mbezi ya kimara..a luta continua.. nilipotoka ni majanga na misala

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...