kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

k son rap – nakataa كلمات اغاني

Loading...

yoh! unafki nakataa fitna majungu nakataa../
i believe in jah..mambo ya kuloga nakataa../chapa kazi kama adili uvivu nakataa/ushemeji wa mchongo man fongo nakataa../ukiona nipo kimya sij_piga hata simu uje ndo tayari nshakukataa uliza ommypa../mshamba ukizubaa kwenye mataa..nakukataa../mi ndio top in dar watoto ni wadogo nawakataa../nakemea kama pastor mapepo na nakataa../ukiniletea ustar wenu wa mabantu nawakataa../wapenda kiki wanaotaka kutrend nawakataa/sina chawa mi ndo one man army..habari za kiota.. nakataa/madawa ya kulevya ndo kabisa nakataa/mikosi mabalaa wazushi nawakataa../zinazojiita pisi kali zinavaa nusu uchi…(nakata x2) zinasambaza tu virus (nakazikataa)../pata chanjo kujikinga na corona vaa barakoa..(msongamano) nakataa/ukinileteaa usela mavi ndo kabisa hunifai nakukataa/hii ni hiphop mambo ya kiwaki nakataa/
asihusika na show bora tu ashuke mashabiki wamekataa/
umimi,umwinyi,udini,ubinafsi nakataa../
mjamaa..ubepari ukoloni mambo leo nakataa../unaweza ukapelekwa mahakamani kizimbani na bado ukakataa../sanaa bila manufaa nakataa..nitabaki underground kwenda mainstream nakataa../ukinizingua nakuzingua..acha upendo utuongoze ka lugombo nakataa../
hili beat naliganda kama ruba kuiacha boombap nakataa../

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...