k son rap – chawa كلمات اغاني
hayupo seriously muda wote msheshi.. mzushi mkushi..mzee wakitonga kazi kuu kusifia mabosi ni mtambo kama jo’s.. anaconnection ya kila pisi..hapa mjini naingia kila office,an_z_jua promo k_mzidi mandonga mtu kazi..kwa mdomo tu anajaza mtu shazi..ni chawa promax anasifa zaidi ya dully sykes..hachezei bahati man x..pembeni ya tajiri tag ubavu napiga tu madili..anapewa tu mashavu..mtu mzima haoni noma anatumwa kama mtoto anapewa tu makavu..tajiri hanuniwi huyu chawa anatukanwa lakini anajifanya nikiziwi..mbele ya tajiri chawa hana say..tajiri hakosei chawa amelipiwa kodi amepewa na usafiri na tajiri..ningekuwa shekh yahaya ningetabiri..chawa amejitoa sana akili..anataka kulipiwa kila bill..anatunza siri zote za tajiri zisitoke..chawa alikuwa mtu wa dini ila sasa anaishi kikafiri..sikuzote nik_mpamba tu tajiri..chawa hawezi kuchachawa tajiri akifulia chawa anapagawa..
كلمات أغنية عشوائية
- marlango › marlango – si yo fuera otra كلمات اغاني
- mimi ibarra › mimi ibarra – que tiene ella كلمات اغاني
- charlie simpson › charlie simpson – still young كلمات اغاني
- tommy olivencia y su orquesta › tommy olivencia y su orquesta – trucutu كلمات اغاني
- dudu es › dudu (es) – parador de valdesqui كلمات اغاني
- dr dog › dr. dog – nobody knows who you are – bonus كلمات اغاني
- veerus › veerus – 23 freestyle كلمات اغاني
- xxe › xx/\/\e – not allowed كلمات اغاني
- keke palmer › keke palmer – it’s a wrap كلمات اغاني
- los nuevos rebeldes › los nuevos rebeldes – ivan el chapito كلمات اغاني