kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jux. – nikuite nani كلمات اغاني

Loading...

[intro]
hey hey hey

[verse 1]
sifa kibao nishasema ‘yote sababu nimezama
uzuri wako ndio un_z_di nipa homa ‘haki ya nani mi nitakatia bima
mi sisikii
napata raha ‘nitasubiri (?) ni na sioni ( hey yeah)
baby karaha ‘long time nimedata nawe

[hook]
wajua kwako mimi mtoto tu
na jina lako nitachora tattoo
ushani_fit changu kiatu
wajua baby vile i love you

wajua kwako mimi mtoto tu
na jina lako nitachora tattoo
ushani_fit changu kiatu ( yeah )
wajua baby vile i love you

[chorus]
baby, mamy ‘jina gani ni sawa
nikuite nani? darling
tell me ‘kwako ikawe dawa
yeah yeah yeah
lalalalala
lalalalala

[verse 2]
kama zawadi nitakupa dunia ‘uitawale mama we ( hey, yeah )
mfano wa bahari
juma mi naelea ‘nimejifia kwako we (hey, yeah )
ukamilishe uzima w_ngu
ukamilishe na nyumba yangu
ukawe amani ya moyo w_ngu
milele (hey, yeah, yeah)

[hook]
wajua kwako mimi mtoto tu
na jina lako nitachora tattoo
ushani_fit changu kiatu
wajua baby vile i love you

wajua kwako mimi mtoto tu
na jina lako nitachora tattoo
ushani_fit changu ‘kiatu
wajua baby vile i love you

[chorus]
baby, mamy ‘jina gani ni sawa
nikuite nani? darling
tell me ‘kwako ikawe dawa
yeah yeah yeah
lalalalala
lalalalala

[verse 3]
mboni yangu ina jina lako wewe
we jela yangu nimejifunga mwenyewe
watose wote, sitopenda uchezewe
nakuthamini mimi
mboni yangu ina jina lako wewe
we jela yangu nimejifunga mwenyewe
watose wote, sitopenda uchezewe, hey…

[chorus]
baby, mamy ‘jina gani ni sawa
nikuite nani? darling
tell me ‘kwako ikawe dawa
yeah yeah yeah

lalalalala
lalalalala

[outro]
yeah
i love you, baby
it’s your boy, african boy

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...