kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

just a band – hey كلمات اغاني

Loading...

hey baby
nataka kukuona
sura yako inafanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine nawaita kadhalika
hey baby
nataka kukuona
sura yako inafanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine nawaita kadhalika
kaa kuna mtu hii dunia ana bahati ni mimi
najua kila mtu ataniuliza kwa nini
manzi yangu bumba hata mi siamini
sitaki ruth, sitaki ray, sitaki pia kanini
kushikwa nimeshikwa nikaweka mf-ko
hakuna pickpocket atanitoa huko
ni mimi na yeye
yeye na mimi
tuko pamoja kama mdomo ulimi
amekua na mimi nikikaranga chumvi
atakuwa na mimi nikianza kunona
sijamwona leo lakini story ni hii
nitachukua simu yangu nimwambie hivi
ntasema
hey baby
nataka kukuona
sura yako infanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine nawaita kadhalika
hey baby
nataka kukuona
sura yako infanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine na waita kadhalika
si kila siku utapata msichana moja mzuri
msichana amesoma ‘kini hana kiburi
msichana saa zingine anasoma zaburi
kusikiza santuri kwake pia desturi
kama niko naye kila kitu ni shwari
naona poa sana ananijali hali
ye ni upepo w-ngu katika jua kali
tafadhali please nitasema ukweli
akiniacha leo sitafuti mwingine
mambo ya kutafuta niliacha zamani
lakini hiyo haitafanyika jamani
juu hata yeye najua anafikiri hiyi
hey baby
nataka kukuona
sura yako inafanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine nawaita kadhlika
hey baby
nataka kukuona
sura yako inafanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine nawaita kadhlika
i have eyes for only you for only you
i have eyes for only you for only you
i have eyes for only you for only you
hey baby
nataka kukuona
sura yako inafanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine nawaita kadhalika
hey baby
nataka kukuona
sura yako inafanya roho inapona
hey kweli we ni malaika
hao wengine nawaita kadhalika

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...