kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

juliani – utawala كلمات اغاني

Loading...

niko njaa hata siezi karanga
hoehae sh-ghala bhaghala
niko tayari, (kulipa) kulipa gharama

sitasimama maovu yakitawala
sitasimama maovu yakitawala
ufisadi, ubinafsi ukabila
kuuza sura hawataki kuuza sera
undugu, ni kufaana
sitasimama maovu yakitawala
siatasimama maovu yakitawala

hard kuget wadhifa una deserve
bila cash ama kashfa
hii society kenye wanaeza
share ni nyungu ya busa
ama kettle ya shisha
mf-ko zinasikia echo
utajua thamani ya mali na size ya kifuli, eeiyoo
hujaibiwa juu hauna ka kitu worth
risking jail time, police bullets for
unaeza argue
crime doesn’t pay
lakini huezi dismiss justice ina bei
mwizi ana forty days
3-6-5 days later
anaendelea ku grow fatter
do anything for power
ready to lose their heads for presidency
bora waione kwa currency
sababu gani siko affected na turbulance
nikifly angani
nimezoea the same feeling
matatu zikipitia pothole
mtaaani, juliaani, yeah yeeeaaahh

niko njaa hata siezi karanga
hoehae sh-ghala bhaghala
niko tayari, (kulipa) kulipa gharama
sitasimama maovu yakitawala
sitasimama maovu yakitawala
ufisadi, ubinafsi ukabila
kuuza sura hawataki kuuza sera
undugu, ni kufaana
sitasimama maovu yakitawala
siatasimama maovu yakitawala

ndio wa raise funds
itabidi u raise hands
growing concerns
breakfast za croissant
hatutaki upunguze bei ya bidhaa
tunataka opportunities ndio tu afford hizo bidhaa
walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi
nimeshinda nikitembea ma ofisi na sijawai ona kazi
siezi cheza golf venye tiger would
mambo si bara bara ching wu
naomba journey mercies
chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani
policeman anapiga rungu mwalimu
daktari anamrushia teargas
na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees -n-lipwa peanuts

niko njaa hata siezi karanga
hoehae sh-ghala bhaghala
niko tayari, (kulipa) kulipa gharama
sitasimama maovu yakitawala
sitasimama maovu yakitawala
ufisadi, ubinafsi ukabila
kuuza sura hawataki kuuza sera
undugu, ni kufaana
sitasimama maovu yakitawala
siatasimama maovu yakitawala

sewer za state house na latrine za ghetto
ziupatana nairobi river
no more nita live by
hand-to-mouth
ushai sikia maskini anaugua gout
nikiwa na nguvu ya kung’oa reli definately
kuinua kura si nzito
ukiingiza kwa ballot box chagua kiongozi wa kweli
moha, john allan namu jicho pevu
wakianika mkono refu ina pick-pocket wanyonge
navaa mask ka goal keeper wa hockey
hawaezi ni kerubo
kenya ni kama boxing hakuna sub
work with what we have

niko njaa hata siezi karanga
hoehae sh-ghala bhaghala
niko tayari, (kulipa) kulipa gharama
sitasimama maovu yakitawala
sitasimama maovu yakitawala
ufisadi, ubinafsi ukabila
kuuza sura hawataki kuuza sera
undugu, ni kufaana
sitasimama maovu yakitawala
siatasimama maovu yakitawala

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...