jua cali – panda shuka كلمات اغاني
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
maisha nikupanda na kushuka
stress imezi boy w_ngu anataka kujiua
namuuliza shida iko wapi
ananiambia shida ni mingi sijui aanzie wapi
ananiambia works ilikatika na keja inafungwa
anataka kupeleka watoi wake wawili wakae na guka
wife nae amechoka antaka kujitoa
kuna jamaa mzee amesema atampatia maisha poa
maboy wake wote wa karibu wamemkimbia
ata sistake mkubwa hataki k_mkaribia
bro wake ndogo tukona mbaya but simu hashiki
amejipoteza mpaka alihamisha ile offisi ya jiji
pombe kwa sasa ndio halisi
cocaine ni brother na shash ni rafiki
asipozitimia kichwa atalipuka
asiposaidika boy w_ngu atajiua
maisha ni kupanda na kushuka au sio
eh!! manze leo uko sawa kesho blunder
ausio, eh! manze lakini
lazima jo tu roll na hizo blows manze ausio
hivohivo strong, strong
msanii nakuona uko juu unatesa
events kila siku unaingiza pesa
nakuona mtu w_ngu unaskia raha
kila show unapiga venue unajaza
hakuna kitu unaeza ambiwa we ndio kusema
mtu wowote yukona shida we ndio unamjenga
kila corner ya dunia unakanyaga
kutoka sydney mpaka alabama
biiboards kila mahali nani ka wewe
ma collabo kila mahali nani ka wewe
polepole kiburi inaingia kwa kichwa
hautaki kukashifiwa wewe unataka tu sifa
time nao imeenda ulisahau kuji investia
magroupie ulikua nao ndio hao wamekimbia
too late mtu w_ngu by the time unashtuka
career yako ndio hio inashuka
wasaniii, hii ndio time yaku invest mtu w_ngu
unaskia? eeh
hio ndio time yaku invest
eh! unatengeneza pesa eeeeh
wacha future yako pesa ikujenge ausio yeah aaah
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
كلمات أغنية عشوائية
- 이석훈 lee seok hoon › 이석훈 (lee-seok-hoon) – stay with me (duet 박새별) كلمات اغاني
- pvris › pvris – what’s wrong كلمات اغاني
- giada proietti › giada proietti – amore unico amore كلمات اغاني
- nolan the ninja › nolan the ninja – 14k كلمات اغاني
- nct 127 › nct 127 – summer 127 كلمات اغاني
- day6 › day6 – lean on me كلمات اغاني
- monokromo feat anna gonzalez › monokromo feat. anna gonzalez – sunshine كلمات اغاني
- ibiza dance party › ibiza dance party – deep sleep كلمات اغاني
- dawn foss › dawn foss – i will be here كلمات اغاني
- bright sight › bright sight – напук на света كلمات اغاني