kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jovi’al – kioo كلمات اغاني

Loading...

they call me arrowbwoy
the baddest
(shaka zulu yeah)
(utembe)
anataka penzi la dhati
tena mautundu kiasi
mi kwake dawa napoza
nalipwa na jeraha yeah

kwako maruf_ku, tena sio dhubutu
nampa maradufu, vikavu na vya supu
kwako maruf_ku, tena sio dhubutu
nampa maradufu, vikavu na vya supu
anasema anahamia kw_ngu mie
anahamia kw_ngu mie
anasema hamwendani nyie
hamwendani nyie
anasema anahamia kw_ngu mie
anahamia kw_ngu mie
anasema hamwendani nyie
hamwendani nyie
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
(vicky pon dis)
we ndo unanipa burudani
kwa wengine sitamani
niruhusu nikupeleke nyumbani
baby
you light up my world w_ngu mw_ngaza
nikikucheki tunafanana
everywhere you go i will follow you
follow you
penzi iwe sheria ka katiba nitasoma
sema umeniroga mimi kwako sitakoma
kwako mi ndio badman na namba wataisoma
wataisoma, wataisoma
penzi iwe sheria ka katiba nitasoma
sema umeniroga mimi kwako sitakoma
kwako mi ndio badman na namba wataisoma
wataisoma, wataisoma
nimeamua nahamie kwako mie
nahamia kwako mie
si unajua tunaendana sie
tunaendana sie
nimeamua nahamie kwako mie
nahamia kwako mie
si unajua tunaendana sie
tunaendana sie
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
kioo kioo, we ndio w_ngu kioo
aah sawa, aah sawa, we ndio daddy
aah sawa, aah sawa, we ndio mammy
aah sawa, aah sawa, ata waseme we ndo hunnie
aah sawa, aah sawa, i’m gonna fight for your love
aah sawa, aah sawa
aah sawa, aah sawa
tuko sawa, sawa, sawa

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...