kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

johnny vigeti – simba كلمات اغاني

Loading...

(single gunshot)

vitu mbaya mi naifanyanga berne
ma-hater ni ma-hater wanakuw-nga na gere
wapakwe make-up ili-waitw-ngwa magere
walinyemelea kivuli design ya luanda magere eh!
akina kaligraph jones wakijadai venye hao ni wakali kwa flow
hata ufure vipi vigeti hapatikani na blow
nami mchafu shinda apr-n makanika bro!
kuni-diss ni mistake, na un-z-misha respect
na suggest kwanza flow, unge badilisha instead
original emcee mu-ulize big ted
hyper manze mi naku snipe na ma-feh
nipate corner zote kama cyber-café
tumekuja kuharibu cypher aiseh!
ndio mmenipea psych bwana
itabidi ken ring a-plug mic ama?
ni kama tofauti ya original timberland
na zenye zenye ziko siku hizi joh simbaland
ma-hardcore vipi oh wanaimba man
itabidi niokoke nimfuate timba man
at least dobieez anaweza bonga
wengine ni u-stupid tu ndio wanakuw-nga eh!
tafuta flow, tukisema gotta go gotta go
tangaza war, majembe tulirudishanga store
destiny’s child mi naitangwa survivor
cheki no style mi namwaga kwa cypher
hii sio diss track, hii ni mlale chini mdhii kukibishwa
riswa! watu wa-duck zikililishwa
miss ya kichwa, kwisha kwisha (kwishaa)
i wish mngelijua vizuri
wengine wanainua chuma watoe kifua kiburi
surface area ime-improve ya kuwalipua vizuri
hiyo ni ulimi-tu huwezi ukakuwa mhuni
nimechorwa sura dandora tu mpaka kwa sura
mjanja shinda kina kaka sungura
watoto wadogo juzi ndio vichwa zimeanza kufura
landlord-i mi na dai kodi anza kugura
nadhani mliambiwa na kina smallz lethal, boy (ma-hater!)
si tumepinda over mosquito coil

murder, murder, murder- ua! ua! ua! x8

(gun c-cks and spits fire)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...