johnny vigeti – johnny vigeti is back كلمات اغاني
and i’m tired of this…
ken ring
johnny vigeti is back!
walisema eti jonny amekwisha
stori zinatatanisha mpaka hommie sipati picha
wanaojifanya mabeshte wana grudge
wasenge wako quick kunitupia sentence kama judge
eti johnny hii, johnny ile
wana-dwell kuhusu story hii hawaoni ile
wana-criticise vako, kwa hiyo negativity ndio mi na-rise up
na sitaki peace, sitaki toto mi ni baba
yap, started from the bottom tuko hapa
ukifanya mistake kurudi kwa msoto jo ni fasta
halafu kivipi utalisha watoto? jo ni blunder!
five plus ma-junior lazima tu washibe monday
ikibidi tu nibonge ya stick up we unipe zangu
mchizi niko kwenye grind kamilisha mission tangu
’94 machozi damu kisha k-mwagike damu
[hook: ken and johnny]
johnny vigeti is back!
hii ni real ghetto sh-t si mataniii!
johnny vigeti is back!
watoto wadogo w-n-leta mchezo kwenye fani
johnny vigeti is back!
sikuwa nimeenda nilikuwa hapa hapa
johnny vigeti is back!
na mission yangu ni kuwatafuna kama supper
tunaifanya vile tunafeel, si turidhishe watu
mpaka nimeachana na heroin niwakilishe 1-2
tumetoka mbali, fiti crew ni machizi dandora wakifoka mtaani
mpaka jam session
big up kwa machizi w-ngu wanasota ndani
keep your head up tu hivyo ni siku moja man
don’t to drugs! mambo ya pony masufuri
hakuna faida jo huchori man, hukuli
utajukuta kwa shida, ni ngori man mhuni
natafuta juu ya kina-shawty tu mi huwa situli
take notes wanaojifanya wasomi waende skuli
wakilisha 100 mpaka niende kaburi
kutoka tu before, zile mi nachora tu ni raw
kama kawa wakilisha dandora to the core
tusha-wisen up mambo tunachora tu ki-pro
tunasonga tukigrow
[hook: ken and johnny]
johnny vigeti is back!
hii ni real ghetto sh-t si mataniii!
johnny vigeti is back!
watoto wadogo w-n-leta mchezo kwenye fani
johnny vigeti is back!
sikuwa nimeenda nilikuwa hapa hapa
johnny vigeti is back!
na mission yangu ni kuwatafuna kama supper
(gunshot)
[female voice]
f-ck you, your friends and your stupid career
but still i’m waiting in bed for you, coz you are… my only legend…
and i’m gonna show you things you’ve never did to me before
even if i know you f-ck all these other ladies, at least give me one hour
but f-ck you for what you did, because my p-ssy has diamonds
johnny vigeti is back! (gunshot)
كلمات أغنية عشوائية
- andy squyres › andy squyres – don’t forget about me when i’m gone كلمات اغاني
- maya carter › maya carter – last call كلمات اغاني
- cheap talk › cheap talk – stay the night كلمات اغاني
- shahid limon › shahid limon – life like a backseat rider كلمات اغاني
- sami chohfi › sami chohfi – it’s just me كلمات اغاني
- sebastiao antunes quadrilha › sebastião antunes & quadrilha – canção de emborcar كلمات اغاني
- jesus money divi silvio_b › jesus money, divì, silvio_b – soffiava alle tre كلمات اغاني
- джоззи dzhozzi › джоззи (dzhozzi) – небо (nebo) كلمات اغاني
- kaz balagane › kaz bałagane – drugi blok كلمات اغاني
- poptoonstv › poptoonstv – bedtime story كلمات اغاني