kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ibraah – subira كلمات اغاني

Loading...

[paroles de “subira”]

oh nah nah
subira imeniponza, natokota
kwote kupambana tatu bila

langu penzi tamu tamu, wameliokota

eh moyo ukauwacha na malenge lenge
umeota vidonda eh
nimefuba hali ni shiwenge
wivu nakonda

anipita mbali kama kigege
aniacha hoi mi mlege lege
nadharaulika ananiona bwege
oh inauma

kama asali nishapokonywa masege
kaniachiaga homa ya dege dege
leo mlezi bichi mi wa mla ndege
hak_mbuki nyuma

tena sikudhubutu
k_mfanya ajutie kunipenda
niliamini wa milele daima
daima
kwake sikuaga zumbukuku
j_po yangu ya kitochi, alimulikiaye
anavyoiweka kando inaniuma
inaniuma

eh yangu akili
ameichanganya chang_ya, ameidanganya
hakuna tena siri
amеichanganya, moyo ameugawanya

ye k_mbe alipita kunusa
amеichanganya
penzi amelipangusa
lipangusa aah, aah nalia

(skibiii)
baby no be mortal
but you drug me crazy girl
now i can’t get you off my head
(i can’t get you off my head)

umeniachia kidonda kidonda
mi mwenzako ninakonda
kidonda kidonda
skiibii mayana nakonda
mmmh da
eih money
skiibii now skiibii now money
ma enjoy my money
i go stay by your side girl yo

i wish you treat me right
i wish you do me right
i wish you do the right
my heart is beating i love you darling

yangu akili
ameichanganya chang_ya, ameidanganya
hakuna tena siri
ameichanganya, moyo ameugawanya

ye k_mbe alipita kunusa
ameichanganya
penzi amelipangusa
lipangusa aah, aah nalia

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...