hotsea – freestyle كلمات اغاني
[intro]
huyo dame alikuwa amekunywa nini
hiyo thong ilikuwa inafanya nini
hapo juu ya gong na bado asubuhi kufika
(boss k-mbuka)
[verse 1]
kwa hii dom mi pekee ndio king
ukinicheki na charlene hiyo si shillingi
combination ya dollar na yen mali nyingi
kwa meno ni njugu sitambuangi mahindi
nikianza kutembea first malindi
nikitaka kubobea kwa bara la hindi
itabidi kuch0r-a vitisho baridi
nimechoka kujam saa nataka ku-bb
bb nishadunga cd
uko na mat-ti so ni lazima kuzizi…
shika kama chali hajawahi kutindi
ile ya siku moja mi sitafuti bibi
na hata ka ningekuwa natafuta bibi
ningefanya juu chini usijue ni lini
mi hupatana na kelly, mary
wakiwa maji nawadanganya mi ndio jerry
[verse 2]
niko na madada
wa kila aina
niko na wale wa kenya
wale wa china
napendanga wale mature
sipendi minors
napendanga wale down to earth
na pia high cl-ss
of attraction mie ndio center
wajiona than me wee ni better
jaribu basi kupita na benta
uone vile ntapita na wako julieta
usijaribu kulenga
ni wee ndio nabongesha
sura ka monkey kazi yako ni kuteta
ati hiyo ndio ngepa
hiyo ni kilemba
wacha kufanya nicheke
n-gga see you later
[outro]
ahaa…
kwa hii freestyle ni hotsea
two zero one three
naleta more
two zero one four
كلمات أغنية عشوائية
- 22 pistepirkko › 22 pistepirkko – roundabout by 22-p كلمات اغاني
- 1200 micrograms › 1200 micrograms – language of the future كلمات اغاني
- miguel jontel › miguel jontel – overload كلمات اغاني
- 12 step rebels › 12 step rebels – the ballad of frankenstein’s monster كلمات اغاني
- 13 engines › 13 engines – zone كلمات اغاني
- 16stitch › 16stitch – petals fall كلمات اغاني
- macy gray › macy gray – it’s love كلمات اغاني
- 21st century schizoid band › 21st century schizoid band – starless كلمات اغاني
- mickey factz › mickey factz – a.i.d.s كلمات اغاني
- tony bennett › tony bennett – can’t get out of this mood كلمات اغاني